Mashahidi wa Shule ya Shajarat Tayyiba Minab (8)
-
Dunia“Kutoka Ghadir hadi Minab” Maonesho maalum ya picha pamoja na kumbukumbu yaliyounganisha historia, imani na ubinadamu kupitia picha zenye kuonesha haki, kujitoa na uthabiti
Hawza/ Kituo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania kiliandaa maonesho maalumu ya picha na kumbukumbu yaliyopewa anuani ya “Kutoka Ghadir hadi Minab”, yakilenga kuunganisha…
-
DuniaWanafunzi wa Pakistan watoa heshima kwa wanafunzi walio uwawa kishahidi wa shule ya Minab Iran
Hawza/ Wanafunzi wa “Akademia ya Vikosi ya Rawalpindi” nchini Pakistan, walipohudhuria katika Nyumba ya Utamaduni ya Iran, walitoa heshima kwa wanafunzi mashahidi wa shule ya mji wa Minab pamoja…
-
DuniaMaonesho Makubwa ya Sanaa Kufanyika Dar es Salaam Yakiwa na Ujumbe wa Ubinadamu na Umoja
Hawza/ Kituo cha Utamaduni cha Iran Tanzania kwa kushirikiana na Idara ya Sanaa Bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeazimia kufanya maonesho maalumu ya sanaa yatakayowakutanisha wanafunzi,…
-
Mwakilishi wa Majma‘ Al-Alami Qadimun huko Hormozgan Iran:
DuniaDamu ya watoto wa Minab ni jeraha linalovuja damu moyoni mwa Umma/ Tunaahidi kutonyamaza
Hawza/ Sheikh Ahmad Haidari, mwakilishi wa Majma‘ Al-Alami Qadimun katika mkoa wa Hormozgan, amesema kwamba; damu ya watoto wa Minab ni jeraha linalovuja damu ndani ya moyo wa Umma wa Kiislamu,…
-
Mkurugenzi Mtendaji na Utawala wa Baraza la Ribat Muhammadi la Iraq:
DuniaJamhuri ya Kiislamu ndio mstari wa mbele wa Umma katika kukabiliana na dhulma/ Mauaji ya watoto mashuleni ni jinai ya hivi karibuni ya Wazayuni
Hawza/ Dkt. Abdul-Jabbar Al-Fahdawi, Mkuu wa Idara ya Baraza la Ribat Muhammadi la Iraq, amesema katika kipindi cha “Mashahidi Watoto wa Minab” kwamba; Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndio mstari…
-
DuniaWanafunzi wa Pakistan wawakumbuka mashahidi wa Minab
Hawza/ kutokana na mnasaba wa kuadhimisha kumbukumbu na historia ya mashahidi wa shule ya “Shajarat Tayyibah Minab”, mashindano ya hotuba yaliyopewa anuani ya “Wito wa Amani na Ubinadamu” yalifanyika…
-
DuniaHafla ya kuwakumbuka mashahidi wa shule ya Minab yafanyika mjini Istanbul
Hawza/ Hafla ya kuwakumbuka mashahidi wa shule ya Shajarat Tayyiba Minab ilifanyika jioni ya tarehe 25 April 2026, kwa ushiriki wa Wairani wanaoishi Istanbul katika Husseinia ya mji huo; hafla…
-
DuniaKumbukizi ya Mashahidi wa Shule ya Shajarat Tayyiba Minab Yahuishwa Katika Maonyesho ya Kielimu ya Mumbai
Hawza/ Maonesho ya “Mega Education Fair” ya Taasisi ya Anfal yaliandaliwa kwa ushiriki mpana wa wanafunzi wa vyuo, wazazi, walimu na watu wa tamaduni katika ukumbi wa Qaisar Bagh Dongri mjini…