Kenya (7)
-
DuniaWaumini wa Kenya Wafurahia Maadhimisho ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya Ahlulbayt ya Kenya imeandaa hafla adhimu ya Maulidi ya kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), katika mazingira yaliyojaa furaha, tafakuri…
-
DuniaWaumini wa Mombasa Kenya Waadhimisha Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (as)
Hawza/ Uongozi wa AhlulBayt Assembly of Kenya umeungana na waumini katika eneo la Kisauni, Kaunti ya Mombasa, kushiriki katika maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein (as), katika matembezi maalumu…
-
DuniaMajlisi ya Maombolezo na Kumuenzi Imam Shahidi Yafanyika Mombasa, Kenya
Hawza/ Jumuiya ya Ahlulbayt ya Kenya, kwa ushirikiano na Bilal Muslim Mission ya Kenya, imeandaa Majlisi ya Maombolezo na Kumuenzi Imam Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei (ra), iliyofanyi…
-
DuniaVikao vya Maombolezo ya Imam Hussein (as) Vyaendelea kwa Hamasa Nchini Kenya; Waumini Waelimishwa Kuhusu Ujumbe wa Karbala
Hawza/ Vikao vya maombolezo ya kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as) vinaendelea kushuhudia mwitikio mkubwa nchini Kenya, ambapo mamia ya waumini wanahudhuria majlisi mbalimbali zinazolenga…
-
DuniaMashia wa Kenya Wafanya Maandamano Makubwa ya Kumbukumbu ya Imam Hussein (as); Ujumbe wa Karbala Watingisha Mioyo ya Waumini
Hawza/ Katika hali iliyojaa huzuni, mapenzi na utiifu kwa Ahlul-Bayt (as), mamia ya Waislamu wa Jumuiya ya Kishia nchini Kenya wamefanya matembezi makubwa ya kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein…
-
DuniaTaasisi Mbalimbali za Kidini Afrika Mashariki Zajipanga Kuadhimisha Mwezi wa Muharram + Picha
Hawza/ Taasisi mbalimbali za kidini katika nchi za Afrika Mashariki zimeanza maandalizi makubwa ya kuukaribisha mwezi mtukufu wa Muharram, kwa kuzindua kampeni za uhamasishaji na kutoa mialiko…
-
DuniaMwanasiasa Nguli Nchini Kenya Afariki Dunia Akiwa Nchini India
Hawza/ Mwanasiasa mashuhuri wa Kenya na kiongozi wa muda mrefu wa upinzani, Raila Amolo Odinga, amefariki dunia leo hii tareh 15 Oktoba 2025 akiwa nchini India ambako alikuwa akipokea matibabu.…