Haram ya Imamu Husein (11)
-
VideoVideo | Mazishi ya kishujaa na ya heshima ya mwili wa kiongozi shahidi wa umma ndani ya haram takatifu ya Imam Hussein (as)
Dakika za kishujaa na za heshima wakati wa mazishi ya kiongozi shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamia ndani ya haram takatifu na yenye nuru ya Imam Hussein (as). 18/04/1405 H.S sawa na July 9 2026.
-
VideoVideo | Mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki ukiingizwa ndani ya kaburi la pembe sita la Sayyid al-Shuhada (as) ukiwa umebebwa na waombolezaji
Mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki uliingizwa ndani ya kaburi la pembe sita la Sayyid al-Shuhada (as) huku ukiwa umebebwa na waombolezaji.
-
VideoVideo | Muonekano wa umati mkubwa wa watu katika mazishi ya kiongozi wa umma huko Karbala
Umati mkubwa wa waombolezaji huko Karbala ulikuwa ukisubiri kwa masaa mengi katika hali ya joto ili kushuhudia kuwasili kwa jeneza la kiongozi shahidi katika eneo la Bayna al-Haramayn,Karbalaa.
-
VideoVideo| Wakati jeneza la kiongozi shahidi linaingizwa ndani ya haram takatifu ya Imam Hussein (as) likiwa limebebwa na waombolezaji
Baada ya masaa mengi ya matembezi ya usindikizaji katika mji mtukufu wa Karbala, mwili mtukufu wa kiongozi huyo shahidi na mpigania haki ulizungushwa ndani ya haram ya Imam Hussein (as) huku…
-
DuniaMaandalizi ya Hafla ya Kubadilisha Bendera ya Kuba ya Haram ya Hadhrat Abul-Fadhl al-Abbas (as)
Hawza/ Kamati ya Hafla ya Kubadilisha Bendera katika Haram Takatifu ya Abbasiyya imetangaza kukamilika maandalizi yake kwa ajili ya kuandaa hafla ya kubadilisha bendera ya kuba ya Haram Tukufu…
-
DuniaKongamano la Kimataifa la Qur’ani lafanyika kwa Muda wa Wiki Moja katika Haram ya Imam Hussein (a.s.)
Hawza/ Wiki ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu imeanza katika Haram ya Imam Hussein (a.s.), ikijumuisha Tuzo ya Tano ya Kimataifa ya Karbala. Wawakilishi kutoka nchi 30 wanashiriki katika tukio hili,…
-
DuniaMwakilishi wa Ayatollah Sayyid Ali al-Sistani katika Haram ya Imam Hussein amesisitiza/ Uhusiano wa karibu zaidi baina ya Hawza ya Iran na Iraq
Hawza/ Sheikh Abdulrazzaq amesisitiza juu ya umuhimu wa kuimarishwa zaidi kwa ushirikiano kati ya Hawza ya Iran na Hawza ya Iraq.
-
DuniaUpanuzi wa shughuli za kielimu za Taasisi ya Haram Tukufu ya Imamu Husein (as) barani Afrika
Hawza/ Taasisi ya masuala ya kitamaduni ya Haram ya Imamu Husayn (as) inaendelea kwa nguvu shughuli zake za kielimu na kitamaduni katika Afrika Magharibi.
-
DuniaAtaba Tukufu ya Imamu Hussein (a.s) Yajenga Makazi ya Bure kwa Watu Wenye Uhitaji
Hawza/ Atabat Takatifu ya Imamu Hussein (a.s) imetangaza kukamilika kwa mfano wa kipekee wa makazi kwa watu wenye uhitaji kama awamu ya kwanza kwa ngazi ya Iraq, unaojumuisha nyumba 3000 katika…
-
DuniaUjumbe kutoka Haram ya Imam Husayn (a.s.) watembelea kanisa la kihistoria nchini Pakistan
Hawza/ Ujumbe kutoka katika Haram Tukufu ya Imam Husayn (as), kwa lengo la kuimarisha maelewano na mazungumzo ya kidini, umetembelea kanisa la kihistoria lililoko katika mji wa Rawalpindi, na…
-
DuniaKuboresha na kuongeza uwezo wa kuhudumia mazuwari wa Ataba Tukufu
Hawza/ Kwa mujibu wa mipango mipya ya Ataba Tukufu ya Imam Hussein (a.s), eneo la Haram linapanuliwa kwa kuchukua eneo jirani na haram hiyo, hatua ambayo inalenga kuboresha huduma kwa mazuwari…