Hawza/ Ayatullah Sayyid Muhammad Taqiy Mudarrisi, mmoja wa wanazuoni wa Iraq, ataka vyombo vya habari vinavyo ongopa na kufanya kazi ya kibaraka visusiwe.
Hawza/ Ayatullah Sayyid Muhammad Taqi Mudarrisī, mmoja wa wanazuoni wa Iraq, amesisitiza umuhimu wa kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya kukabiliana na maadui wa umma, na kutoa tahadhari kuhusu…