Alhamisi 13 Agosti 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Hafla ya Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) Yafanyika Dar es Salaam Tanzania + Picha

    DuniaHafla ya Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) Yafanyika Dar es Salaam Tanzania + Picha

    Hawza/ Waumini wa jijini Dar es Salaam jana tareh 28 Swafar 1448, walikusanyika katika Msikiti wa Ghadiir uliopo Kigogo Post jijini humo,  ili kushiriki katika maadhimisho ya Majlisi ya kumbukizi…

    2026-08-13 15:09
  • Waumini wa Kishia Tanga Waadhimisha Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) kwa Matembezi ya Amani + Picha

    DuniaWaumini wa Kishia Tanga Waadhimisha Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) kwa Matembezi ya Amani + Picha

    Hawza/ Katika hali ya huzuni na majonzi makubwa, waumini wa Kishia jijini Tanga wamefanya matembezi ya amani kwa ajili ya kuadhimisha kumbukizi ya kifo cha Mtume Muhammad (saww), huku wakionesha…

    2026-08-13 14:09
  • Zanzibar Yaadhimisha Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) kwa Kufanya Matembezi Makubwa ya Huzuni + Picha

    DuniaZanzibar Yaadhimisha Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) kwa Kufanya Matembezi Makubwa ya Huzuni + Picha

    Hawza/ Waumini Kishia wa Zanzibar siku ya jana wamejitokeza kwa wingi katika matembezi makubwa ya kuadhimisha kumbukizi ya kifo cha Mtume Muhammad (saww), huku wakihuisha kumbukumbu ya mmoja…

    2026-08-13 13:09
  • Waumini wa Arusha Tanzania Waadhimisha Kifo cha Mtume (saww) kwa Matembezi ya Amani + Picha

    DuniaWaumini wa Arusha Tanzania Waadhimisha Kifo cha Mtume (saww) kwa Matembezi ya Amani + Picha

    Hawza/ Katika hali ya huzuni, majonzi na kumbukumbu nzito ya kumpoteza Mtume Muhammad (saww), waumini wa Arusha nchini Tanzania wameadhimisha kumbukumbu ya kifo cha Mtume (saww) kwa kufanya matembezi…

    2026-08-13 12:09
  • Matembezi ya Amani kwa Ajili ya Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) Yafanyika Tabora Tanzania + Picha

    DuniaMatembezi ya Amani kwa Ajili ya Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) Yafanyika Tabora Tanzania + Picha

    Hawza/ Tabora, Tanzania — Katika mazingira yaliyojaa huzuni, majonzi na kumbukumbu ya tukio kubwa katika historia ya Uislamu, waumini wa mji wa Tabora nchini Tanzania wamefanya matembezi ya amani…

    2026-08-13 11:09
  • Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli Aelezea Utukufu wa Msiba wa Kufariki Dunia kwa Mtume Mtukufu (saww), Kupitia Maneno ya Amirul Muuminina (as)

    DuniaAyatullah al-Udhma Jawadi Amuli Aelezea Utukufu wa Msiba wa Kufariki Dunia kwa Mtume Mtukufu (saww), Kupitia Maneno ya Amirul Muuminina (as)

    Hawza/ Kwa mtazamo wa Amirul Muuminina (as), kufariki dunia Mtume Mtukufu (saww) kuliacha jeraha kubwa katika nyoyo za Umma kiasi kwamba, mbele ya ukubwa wa msiba huo misiba mingine yote hata…

    2026-08-13 04:46
  • Mtume Mtukufu (saww) Ana Ujumbe wa Uongofu na Njia ya Wokovu kwa Kila Zama

    Sheikh Zakzaky:

    DuniaMtume Mtukufu (saww) Ana Ujumbe wa Uongofu na Njia ya Wokovu kwa Kila Zama

    Hawza/ Abuja: Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, huku akisisitiza kwamba ujumbe wa Mtume Mtukufu (saww) kwa kila zama ni ujumbe wa uongofu na njia ya wokovu,…

    2026-08-13 03:46
  • Sira ya Mtume Mtukufu (saww) Ni Kielelezo Kamili cha Rehema, Uadilifu, Maadili na Umoja kwa Wanadamu

    Mwanazuoni Mashuhuri wa Pakistani:

    DuniaSira ya Mtume Mtukufu (saww) Ni Kielelezo Kamili cha Rehema, Uadilifu, Maadili na Umoja kwa Wanadamu

    Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Muhammad Hassan Jaafari amesema katika ujumbe wake kwamba: Sira ya Mtume (saww) na Ahlul Bayt (as) haipaswi kuishia katika kuwapenda na kuomboleza tu, bali…

    2026-08-13 02:46
  • Mamluki Wasitegemee Kuendelea kwa Vita vya Saudi Arabia

    Mjumbe Mwandamizi wa Ansarullah ya Yemen:

    DuniaMamluki Wasitegemee Kuendelea kwa Vita vya Saudi Arabia

    Hawza/ Muhammad Al-Farah, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Ansarullah ya Yemen, ametoa ujumbe kwa wanamgambo na mamluki wanaoiunga mkono Saudi Arabia, akiwataka wasikate njia zao za mawasiliano…

    2026-08-13 01:46
  • Kuongezeka kwa Mfumo wa Kuwakandamiza Mashia Bahrain; Kuanzia Kufungwa kwa Husainiya 50 Hadi Kukamatwa kwa Wanazuoni wa Dini

    Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain Yatoa Tahadhari:

    DuniaKuongezeka kwa Mfumo wa Kuwakandamiza Mashia Bahrain; Kuanzia Kufungwa kwa Husainiya 50 Hadi Kukamatwa kwa Wanazuoni wa Dini

    Hawza/ Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain imeitaka Serikali ya Bahrain kusitisha mara moja hatua na vikwazo vyote vilivyowekwa dhidi ya uhuishaji wa alama za kidini na misafara ya maombolezo.

    2026-08-13 00:46

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom