Hawza / Mzungumzaji katika Haram tukufu ya Bibi wa Heshima, Bibi Maasuma (as), alisema kuwa Mwenyezi Mungu baada ya kutangaza wilaya ya Amirul-Mu’minin (as), alieleza: “Leo makafiri wamekata…
Katika nukuu yake, Katibu wa Baraza Kuu la Hawza alisema: Katika kipindi chote cha harakati za Ma’imamu watoharifu (ʿalayhim al-salām), fursa kubwa ya kueneza maarifa ya Kiislamu haikupatikana.…