Ayatollah Al-Udhma Bashir Najafi (5)
-
DuniaAyatollah Al-‘Udhma Bashir Najafi akutana na mazuwari wa Kiirani huko Najaf
Hawza/ Mtukufu Ayatollah Sheikh Bashir Hussein Najafi, mmoja wa Mar'aji‘ wa Najaf Ashraf, aliwapokea mazuwari wa Kiirani waliokuwa wamefika kwa ajili ya ziara ya Atabati Tukufu nchini Iraq
-
DuniaRaisi wa Baraza la Umoja wa Waislamu Pakistani, akutana na Ayatullah al-Udhma Hafidh Bashir Hussein Najafi katika mji wa Najafu Ashraf
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Nasser Abbas Jafari, akiwa pamoja na ujumbe wa wajumbe wa baraza hilo katika safari rasmi ya Najaf Ashraf, wamekutana na Ayatullah al-Udhma Hafidh Bashir Hussein…
-
DuniaOfisi ya Ayatollah al-Udhma Najafi imewaomba wapenda haki ulimwenguni kuchukua hatua za haraka kuiokoa Ghaza kutoka katika mauti
Hawza/ Ofisi ya Hadhrat Ayatollah Sheikh Bashir Hussein Najafi, imelaani jinai zinazoendelezwa na Wazayuni dhidi ya watu wa Ghaza.
-
Mkurugenzi wa Ofisi ya Ayatollah al-‘Uzma Hafidh Bashir Najafi:
DuniaKuhuisha alama za Husseini ni jukumu la kidini na njia ya kuelekea kwenye kujikurubisha na Mwenyezi Mungu
Hawza/ Hujjat al-Islam wal-Muslimin Sheikh Ali Najafi, katika hotuba yake huku akisisitiza upande wa islah (urekebishaji) wa harakati ya Imam Husayn (as), amekitambua kisimamo hicho kuwa ni mfano…
-
HawzaUjumbe wa Ayatollah Al-Udhma Bashir Najafi kwa Watoto na Walimu wa Shule ya Qur’ani
Hawza: Hadhrat Ayatollah Al-Udhma Haj Hafidh Bashir Hussein Najafi katika Markaz yake Najaf, alipokea kundi la wageni wakiwemo walimu na watoto kutoka bara ndogo la Hindi waliokuwa wakisoma katika…