Hawza/ Hassan Rashid Jawad Al-Abayiji, amesisitiza kuwa; kadhia ya Palestina leo ndio dhihirisho hai la mwendelezo wa ujumbe wa Imam Hussein (as) wa kuwanusuru wanaodhulumiwa na kuutetea ukweli.
Hawza/ Mkurugenzi wa Kituo cha Masuala ya Kifikra na Kiutamaduni cha Ataba Tukufu ya Imam Hussein (as) mjini Karbala amesema kuwa; mazishi makubwa yaliyohudhuriwa na mamilioni ya watu nchini…
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sheikh Abdul Mahdi Karbalai amesisitiza kuwa; kumhudumia Imam Hussein (as) hakuishii katika kutekeleza majukumu ya kazi pekee, bali hukamilika kwa kushikamana…
Hawza/ Wiki ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu imeanza katika Haram ya Imam Hussein (a.s.), ikijumuisha Tuzo ya Tano ya Kimataifa ya Karbala. Wawakilishi kutoka nchi 30 wanashiriki katika tukio hili,…
Hawza/ Idara ya miradi ya maendeleo ya Ataba Tukufu ya Husseini imetangaza sifa za mradi wa uwanja wa Sahn Rasul A’dham (Swalla-Llahu alayhi wa Aalihi wa sallam).