Afghanistan (8)
-
DuniaBaraza la Wanazuoni wa Kishia Afghanistan Lasisitiza Umuhimu wa Kuhakikishwa Usalama Kwenye Maadhimisho ya Maombolezo ya Muharram Nchini Humo
Hawza/ Sambamba na kuwadia mwezi wa Muharram, Baraza la Wanazuoni wa Kishia Afghanistan limetoa taarifa likisisitiza umuhimu wa kuandaliwa kwa maadhimisho ya maombolezo kwa utukufu, utulivu na…
-
DuniaKiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu atoa rambirambi kufuatia kufariki kwa Ayatullah al-Udhma Fayyadh
Hawza/ Ayatullah Sayyid Mujtaba Khamenei ametuma ujumbe wa rambirambi kufuatia kufariki dunia kwa Ayatullah Haj Sheikh Ishaq Fayyadh.
-
Ayatullah Makarim Shirazi:
DuniaBaraka za Ayatullah Fayyadh ndani ya Hawza ya Najaf hazitasahaulika
Hawza/ Ayatullah Makarim Shirazi ametuma salamu za rambirambi kufuatia kufariki kwa Ayatullah Hajj Sheikh Ishaq Fayyadh, mmoja wa Mar'ajii wakubwa wa Taqlid wa Najaf.
-
DuniaAyatullah al-Udhma Bashir Najafi: Leo mzee na Sheikh wa Najaf Ashraf ametutoka
Hawza/ Ayatullah al-Udhma Sheikh Bashir Najafi, mmoja wa Maraji' wa taqlid wa Najaf Ashraf, katika taarifa yake ametoa salamu za rambirambi kufuatia kufariki kwa Ayatullah al-Udhma Sheikh Muhammad…
-
DuniaWaziri Mkuu wa Iraq atangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Ayatullah al-Udhma Fayyadh
Hawza/ Ali Al-Zaidi, kufuatia kifo cha Ayatullah al-Udhma Sheikh Muhammad Is’haq Fayyadh, ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa nchini Iraq.
-
DuniaUtaratibu wa ratiba ya mazishi na kuzikwa mwili wa Ayatullah al-Udhma Fayyadh watangazwa
Hawza/ Maelezo ya ratiba ya mazishi ya mwili wa Ayatullah al-Udhma Sheikh Muhammad Is’haq Fayyadh, ambaye leo Alhamisi ameaga dunia, yametangazwa.
-
Mkuu wa Kituo cha Tibyan Afghanistan:
DuniaKukamatwa kikatili mwanazuoni wa Kishia mjini Kabul/ Mwenendo wa kiutendaji wa serikali katika maeneo yenye wakazi wa Kishia nchini Afghanistan urekebishwe
Hawza/ Mkuu wa Kituo cha Tibyan Afghanistan, akijibu tukio la kukamatwa na kupigwa kwa Hujjatul-Islam wal-Muslimin Hussein Dad Sharifi na maafisa wa idara ya kuamrisha mema na kukataza aovu ya…
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mtume Mtukufu (s.a.ww) Kabul asema:
DuniaVita vya leo ni makabiliano ya pande zote za Uislamu dhidi ya kambi ya ukafiri/ Iran ni mstari wa mbele katika muqawama wa Kiislamu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Hussein Hadi, mkurugenzi wa Taasisi ya Mtume Mtukufu (s.a.ww) mjini Kabul, katika warsha ya mtandaoni “Imam Khamenei; Kiongozi Shahidi” iliyofanyika…