-
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Maliki:
DuniaMashambulizi ya kiutamaduni yanatumia mwonekano mzuri na wa kuvutia kwa lengo la kumuepusha mwanadamu na njia ya haki
Naibu wa Mkurugenzi wa Hawza ya kielimu ya Qum, huku akisisitiza umuhimu wa kuwa na utambuzi na uelewa sahihi (Basira), ameeleza kuwa miongoni mwa sifa za vita laini (Soft War) ni kuwasilisha…
-
DuniaImamu wa Swala ya Ijumaa Baghdad Atoa Onyo Kali kwa Waziri Mkuu wa Iraq
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousavi, Imamu wa Swala ya Ijumaa mjini Baghdad, ameionya serikali ya Iraq dhidi ya kujifunga na mataifa yenye nguvu duniani, huku akiitaka ichukue sera ya kutofungamana…
-
DuniaNdoto ya mtoto wa Kipalestina/ Laiti ningeliweza kuwa na furaha
Hawza/ Mtoto wa miaka kumi kutoka Ghaza, anayeitwa Mujahid, amewapoteza wazazi wake katika vita vya utawala wa Kizayuni. Kwa sasa, meno yake na mkono wake vimevunjika kutokana na nguvu ya mlipuko,…
-
DuniaMahakama ya Kimataifa yaishutumu Myanmar kwa mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya
Hawza/ Yuji Iwasawa, Rais wa Mahakama ya Kimataifa, siku ya Alhamisi alisoma hukumu ya mahakama hiyo katika kesi ya mauaji ya kimbari iliyofunguliwa dhidi ya Myanmar, mjini The Hague, na kuituhumu…
-
DuniaWanaharakati wa Shahidi Ahmad Zakzaky (r.a) washiriki mkusanyiko wa usiku wa wananchi wa Iran mjini Qum
Hawza/ Wanaharakati wa Shahidi Ahmad Zakzaky (r.a) (JASAZ) katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wameshiriki katika mkusanyiko wa usiku wa wananchi wa Iran uliofanyika katika Uwanja wa Sheikh Mufid,…
-
DuniaHujjatul-Islam wal-Muslimin Rafii Aelezea Sifa Tano Muhimu za Mtukufu Ummul-Banin (sa)
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Rafii, akifafanua vipengele mbalimbali vya maisha na tabia za Mtukufu Ummul-Banin (sa), ametaja sifa tano muhimu zilizomtambulisha mwanamke huyo mtukufu, ambazo…
-
Jarida la Time:
DuniaDini ya Kiislamu Itakuwa na Wafuasi Wengi Zaidi Duniani Ifikapo Mwaka 2035
Hawza/ Inatarajiwa kuwa Uislamu na Waislamu watakuwa kundi kubwa zaidi la kidini duniani ifikapo mwaka 2035, na hivyo kuwapita Wakristo ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakishikilia nafasi hiyo.…
-
DuniaWanaobomoa misikiti ya Yemen hawastahili kuitwa walinzi wa Haram Mbili Takatifu
Hawza/ Familia ya Aal Saud, huku ikidai kuwa inalinda miji mitakatifu ya Makka na Madina, inaendelea kuwatuhumu wengine kwa kutishia maeneo matakatifu. Hata hivyo, katika kipindi cha chini ya…
-
DuniaAyatullah Araki Aonya Kuhusu Madhara ya Makabiliano Kati ya Utawala wa Kidikteta wa Bahrain na Wananchi
Hawza/ Mjumbe wa Baraza Kuu la Hawza amelaani kutolewa hukumu dhidi ya kundi la wanazuoni na watu mashuhuri nchini Bahrain, huku akionya kuhusu madhara yanayoweza kusababishwa na makabiliano…
-
HawzaAyatullah Arafi akutana na Ayatullah al-Udhma Makarim Shirazi
Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Ayatullah al-Udhma Makarim Shirazi.