-
DuniaKutoka Ndoto za Kuuporomosha Mfumo Hadi Uhalisia wa Uimara Wake; Historia Yawapa Somo Wapinzani wa Iran
Hawza/ Historia daima hutenganisha ukweli na dhana. Wanasiasa kama Lindsey Graham, kwa mahesabu yasiyo sahihi na utabiri usio na msingi, walikuwa wakiahidi kuporomoka kwa Mfumo wa Jamhuri ya…
-
Ayatullah Jawad Marawi akiwa katika mkutano wa wanazuoni wa Najaf na Qum:
DuniaMazishi ya Kiongozi wa Umma yanauthibitishia ulimwengu kwamba mataifa ya Iraq na Iran ni roho moja katika miili miwili / Uhusiano huu unapaswa kuendelea kuimarika na kuwa imara zaidi siku baada ya siku
Hawza/ Katibu wa Pili wa Baraza Kuu la Hawza nchini Iran, amesema: "Mazishi haya makubwa yanayoshuhudiwa na uwepo wa wanazuoni wakubwa, Mara'jii wakuu wa Taqlid, wasomi wa fikra, viongozi wa…
-
Sheikh Jabri:
DuniaMazishi Makubwa ya Imam Khamenei Yameonesha Nafasi Yake Kubwa kwa Umma
Hawza/ Sheikh Abdullah Jabri amesisitiza kuwa: "Uaminifu kwa mashahidi unapatikana kwa kushikamana na njia ya jihadi na muqawama, kuimarisha umoja wa Umma na kuendelea kujitahidi kwa ajili ya…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaMazishi ya Mwili wa Imam Khamenei nchini Iraq na Iran Yalikuwa Ni Kuhuisha Bai'a na Tangazo la Msimamo wa Kidini na Kisiasa
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qabanchi amesema: "Kwa kufanyika mazishi ya mwili wa Shahidi Imam Khamenei nchini Iraq na Iran, kambi ya haki ilipata ushindi katika kiwango…
-
Ayatullah al-Udhma Muzahirii:
DuniaKuilinda Amana ya Imam Shahidi Kunapatikana kwa Kumfuata Kiongozi Mwenye Baswira na Ukomavu wa Mapinduzi/ Ashukuru Hamasa ya Wananchi katika Mazishi ya Kiongozi Shahidi
Hawza/ Ayatullah al-Udhma Muzahirii amesema: "Sasa tumebaki na majonzi ya kuondokewa na Imam wetu mtukufu aliyefariki pamoja na Kiongozi wetu Shahidi mwenye cheo cha juu, na amana hii yenye thamani…
-
Ayatullah Khatami Afafanua:
DuniaJumbe Saba za Kimkakati za Tukio Lisilo na Mfano la Karne/ Kwa Nini Kulipiza Kisasi cha Damu ya Imam Shahidi ni Haki Isiyopingika kwa Umma?
Hawza/ Mjumbe wa Maulama wa Baraza la Kulinda Katiba amesema kuwa; mazishi ya Imam Shahidi ni "tukio lisilo na mfano katika karne" na "udhihirisho wa mshikamano kati ya dini na taifa." Akiwashukuru…
-
DuniaRais wa Tano wa Indonesia: Imam Shahidi Hakuwa Kiongozi wa Iran Pekee, Bali Alama ya Mapambano na Uadilifu
Hawza/ Rais wa tano wa Indonesia amesema: "Kwa mtazamo wangu, shakhsia ya Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei haikuwa tu ya kiongozi wa kisiasa au mwanazuoni wa kidini kutoka taifa la Iran…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi katika Ujumbe Wake Kutokana na Mnasaba wa Mazishi na Kuzikwa "Bwana Shahidi wa Iran":
DuniaTutalipiza kisasi cha damu takatifu ya mashahidi kutoka kwa wauaji wahalifu na waliopoteza heshima / Shukrani za dhati kwa mahudhurio ya kihistoria ya wananchi wa Iran na Iraq
Hawza/ Ayatullah Sayyid Mujtaba Husseini Khamenei, katika ujumbe wake, ametoa shukrani za dhati kwa mamilioni ya wananchi wa Iran na Iraq waliohudhuria mazishi ya "Bwana Shahidi wa Iran", na…