-
DuniaMjumbe wa kambi ya Muqawama: Kauli za Bula Ya‘qubian ni matusi kwa Uislamu na Mtume Mtukufu (s.a.w.w.)
Hawza/ Rami Abu Hamdan, mjumbe wa kambi ya “Uaminifu kwa Muqawama”, amelaani kauli chafu zilizotolewa na Bula Ya‘qubian, mbunge wa Bunge la Lebanon, ambazo ndani yake aliwatusi wanazuoni wa dini…
-
Jabha ya Amali ya Kiislamu Lebanon:
DuniaKilichotokea Venezuela ni kusambaratika mabaki ya mfumo wa dunia na kuanguka kwa maadili na utu wa kimataifa
Hawza/ “Jabha ya Amali ya Kiislamu nchini Lebanon” imetangaza kuwa uvamizi dhalimu na wa khiyana wa Marekani ni uvamizi dhidi ya mabaki ya mfumo wa kisasa wa dunia na ni dalili ya kusambaratika…
-
Vyama vya Lebanon:
DuniaUvamizi wa Marekani dhidi ya Venezuela ni jinai ya kimataifa na inahitajika Baraza la Usalama lichukue hatua ya haraka sana
Hawza/ “Mkutano wa vyama, nguvu na shakhsia za kitaifa za Lebanon” katika kuelezea uvamizi wa wazi wa Marekani dhidi ya serikali ya Venezuela, umelaani vikali hatua hiyo.
-
DuniaMji wa Ghubairi nchini Lebanon wafanya hafla ya kumbukizi ya shahada ya kamanda Haj Qassim Suleimani
Hawza/ Mji wa Ghubairi uliopo katika mji wa Baabda nchini Lebanon uliadhimisha kumbukumbu ya shahada ya kamanda Shahidi Haj Qassim Suleimani kupitia hafla iliyofanyika karibu na mnara wa kumbukumbu…
-
DuniaHafla ya “Kuwakumbuka Mashahidi wa Muqawama” yafanyika huko Karachi, Pakistan
Hawza/ Hafla tukufu ya “Kuwakumbuka Mashahidi wa Muqawama” ilifanyika kwa juhudi za Ubalozi Mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Karachi, Pakistan, huku ikihudhuriwa na kundi la wanazuoni…
-
Rais wa Baraza la Umoja wa Waislamu Pakistan:
DuniaUvamizi wa kijeshi uliofanywa na Marekani dhidi ya Venezuela na kuitishia Iran ni ukiukwaji wa wazi wa sheria za kimataifa
Hawza/ Seneta Raja Nasir Abbas Ja‘fari, Rais wa Baraza la Umoja wa Waislamu Pakistan, katika taarifa yake amelaani vikali hatua za kijeshi za Donald Trump dhidi ya Venezuela pamoja na vitisho…
-
Ayatullah Al-udhma Nouri Hamedani:
HawzaMadai ya haki yapitie njia sahihi/ Kiongozi wa Mapinduzi ametetea kwa uthabiti haki za wananchi
Hawza/ Mtukufu Ayatullah Nouri Hamedani katika kikao chake na Hujjatul-Islam wal-Muslimin Haj Ali Akbari, walisisitiza kwamba Maimamu wa Swala za Ijumaa ni kiungo kati ya wananchi na mfumo wa…
-
DuniaBibi Zaynab (sa): Shujaa alie okoa maisha ya Imam Sajjad (as) dhidi ya Yazidi
Hawza/ Bibi Zaynab (sa) alikuwa mwanamke mwenye akili, ujasiri na subira ya kipekee; kwa ufahamu kamili wa misukosuko, aliandamana na Imam Hussein (as), na kwa hotuba zake pamoja na uongozi wake…