-
Ayatollah Al-Irāfi katika Kikao na Walimu wa Tafsiri ya Qur'ani Amesisitiza:
HawzaMisingi 12 ya Shughuli za Kimkakati za Qur'ani Ndani ya Hawza:
Hawza/ Mkuu wa Hawza nchini Iran, katika mkutano na waalimu na wafasiri wa Qur’ani, alisisitiza kwamba: Qur’ani ni maandiko pekee ya mbinguni yaliyo sahihi na hitaji la pamoja la binadamu wote.…
-
Ayatullah Udhma Nouri Hamadani:
DuniaDa‘wa (Tabligh) ni Kukumu la Kwanza la Wanazuoni wa Hawza
Hawza/ Ayatullah Nouri Hamadani amesisitiza kuwa: jukumu la kwanza kabisa la wanazuoni wa Hawza ni kutekeleza kazi ya da‘wa (tabligh). Matunda ya juhudi zote yanajikusanya katika jukumu hili;…
-
Kutoka Lima hadi Palestina:
DuniaEmilio Saba, Beki Anayevuka Mipaka ya Soka na Kuwa Chanzo cha Msukumo Katika Kombe la Kiarabu
Hawza/ Katika Kombe la Kiarabu lililofanyika Doha, Emilio Saba — mchezaji wa Peru mwenye mizizi ya Kipalestina — kwa uchezaji wake mahiri, unyenyekevu na utambulisho wake wa pande mbili, ameibuka…
-
Jamii ya Wapalestina waishio Chile Yawahutubia Wagombea wa Urais:
DuniaDumisheni Sera ya Chile Iliyojengwa juu ya Misingi ya Mafungamano na Palestina Bila Kuibadili
Hawza/ Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi wa rais wa Chile, rais wa jamii ya Wapalestina nchini humo, akisisitiza historia ndefu ya Chile katika kutetea haki za taifa la Palestina, amewataka…
-
Iyhab Hamadeh:
DuniaLebanon Kamwe Haitatolewa Zawadi Bure Kutokana na Tamaa za Wazayuni na Marekani
Hawza/ Chama cha Hizbullah kiliandaa hafla katika Husseinia ya mji wa Hlabta, kutokana na mnasaba wa kumbukizi ya mwaka wa shahada ya Sheikh Adnan Ali Saifuddin.
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaTunaweza Kuilinda Lebanon Dhidi ya Migogoro Hatari Zaidi Zupitia Umoja wa Kitaifa
Hawza/ Mufti Mkuu wa Jaafari wa Lebanon amesisitiza kuwa historia yetu, pamoja na ugumu wake wote, inaonesha wazi kwamba tunaweza kuilinda Lebanon kupitia umoja wa kitaifa na ushiriki mpana wa…