-
DuniaSheikh Al-Qattan Katika Kikao Chake na Jamil Hayek, Atilia Mkazo Kwenye Umoja wa Kitaifa na Kuliunga Mkono Suala la Palestina
Hawza/ Rais wa Jumuiya ya “Qawluna wa Al-Amal” nchini Lebanon, alipotembelea ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Amal mjini Beirut, alifanya kikao na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya harakati hiyo, Jamil…
-
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Iran, Katika Mkutano na Waimbaji wa Mashairi ya Ahlul-Bayt (a.s.):
DuniaUlazima wa Kubadili Mpangilio wa Ufikishaji wa Kimtandao na Kimaarifa Mbele ya Juhudi Anazozifanya Adui Ili Kuvutia Nyoyo na Akili
Hawza/ Kiongozi wa Mapinduzi alibainisha kuwa; kusimama imara dhidi ya vita vya ufikishaji wa kimtandao vinavyoongozwa na Magharibi ni jambo gumu lakini linawezekana kabisa. Alisema: Katika njia…
-
DuniaUshauri Muhimu wa Ayatollah Udhmaa Wahid Khorasani Kuwaelekea Vijana
Hawza/ Ayatollah Mkuu Wahid Khorasani amesisitiza kuwa: Ujana kwa mwanadamu ni kama msimu wa masika kwenye ulimwengu na katika mzunguko wa wakati. Katika msimu huu wa ujana, kila mbegu ya elimu…
-
Ayatullah Qaraati Katika Mkutano na Wanafunzi wa Dini:
DuniaTuiwasilishe Qur’ani kwa Namna Ambayo Watu wa Wawaida Waielewe na Wasomi Wavutiwe Nayo
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Mohsen Qiraati, katika mkutano na wanafunzi wa dini, alikosoa baadhi ya tafiti zisizo na manufaa ya moja kwa moja, akasisitiza umuhimu wa tabligh yenye ufanisi…