-
DuniaRadi amali ya Wabahrain kutokana na uteuzi wa balozi mpya wa utawala wa Kizayuni
Hawza/ Maandamano ya wananchi kwa ajili ya kupinga mapokezi ya balozi mpya wa utawala wa Kizayuni yamefanyika katika maeneo kadhaa Bahrain
-
DuniaMwanazuoni wa Kisunni: Kunyamaza wanaodai haki za binadamu mbele ya mauaji ya halaiki ya Wapalestina ni jambo la aibu
Hawza/ Asadullah Bahto, katika hotuba yake, alilieleza juu ya kunyamaza wanaodai haki za binadamu mbele ya mauaji ya halaiki ya Wapalestina kuwa ni jambo la aibu, na akasisitiza juu ya kushindwa…
-
Ayatullah A‘rafi:
HawzaUmuhimu wa kuimarisha mtazamo wa kimataifa wa Hawza / Hawza zinapaswa kuwa na nafasi yenye athari katika uwanja wa kimataifa
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, huku akisisitiza juu ya umuhimu wa uwepo wa kina na wa kivitendo wa Hawza katika uwanja wa kimataifa, amesema: uzalishaji wa kielimu unaolingana na lugha…
-
DuniaTamko la Hawza za Mabanati Kuhusu Kulaani Jinai ya Hivi Karibuni iliyofanywa na Utawala wa Kizayuni Nchini Yemen
Hawza/ Kituo cha Usimamizi wa Hawza za Mabanati, kufuatia jinai za hivi karibuni zilizofanywa na utawala wa Kizayuni nchini Yemen na kuuawa kishahidi kundi la viongozi wa serikali ya nchi hiyo,…
-
DuniaTamko la Pamoja la Wawakilishi wa Ataba Tukufu za Iran Kuhusu Kulaani Jinai iliyofanywa na Utawala wa Kizayuni Nchini Yemen
Hawza/ Kamati ya Wawakilishi wa Ataba Tukufu Iran wamelaani vikali shambulizi la kigaidi, la kinyama na lisilo la haki lililofanywa na utawala haramu wa Kizayuni dhidi ya taifa huru na wananchi…
-
DuniaUmoja wa Ulamaa wa Muqawama Ulimwenguni: Jinai zinazofanywa na Wazayuni Haziwezi Kudhoofisha Azma ya Taifa la Yemen
Hawza/ Umoja wa Ulamaa wa Muqawama Ulimwenguni, kufuatia shambulizi la anga lililofanywa na utawala wa Kizayuni lililolenga kikao rasmi cha kiserikali mjini Sana’a, mji mkuu wa Yemen, umetuma…