-
Ayatullah Saidi katika Swala ya Ijumaa Qom, nchi Iran:
DuniaUshirikiano wa wananchi umeangamiza njama za Marekani na utawala wa Kizayuni / “Umoja” ndii suluhisho katika kuueneza Uislamu duniani
Hawza/ Khatibu wa Ijumaa wa Qom alisema: “Utawala wa Kizayuni ulidhani kwamba, kwa kudhoofisha imani ya wananchi na kuchichea kukata tamaa ungeweza kutikisa misingi ya serikali, lakini mshikamano…
-
DuniaKiongozi wa Jamaat-e-Islami Pakistan: Kujitolea kwa Iran katika kuiunga mkono Palestina ni fahari kwa Umma wa Kiislamu
Hawza/ Hafiz Naeemur Rehman katika hotuba yake alisisitiza kwamba kujitolea kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuliunga mkono taifa la Palestina ni chanzo cha fahari kwa umma wa Kiislamu…
-
DuniaSentensi ambayo Ahlus-Sunna nchini India wameiandika kuhusiana na Ayatullah al-Udhma Khamenei
Hawza/ Ahlus-Sunna wa mji wa Lucknow nchini India katika siku ya 12 Rabiul-Awwal, kwa kuweka picha za Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu, walionesha ujumbe unaolenga umoja wa Waislamu ulimwenguni.
-
Balozi wa Yemen nchini Iran:
DuniaChanzo cha matatizo katika ukanda huu ni uvimbe wa saratani wa Kizayuni
Hawza/ Ibrahim Muhammad al-Daylami, huku akilaani ukimya wa nchi za Kiarabu na Kiislamu mbele ya uvamizi wa utawala wa Kizayuni, ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama mlinzi pekee wa kweli…
-
DuniaRais wa Kituo cha Utafiti cha Bunge: Mikakati ya pamoja ya Yemen imedhoofisha biashara ya baharini ya utawala wa Kizayuni
Hawza/ Babak Negahdari alibainisha kuwa hatua za Yemen si tu zimeongeza gharama za utawala wa Kizayuni na Marekani katika eneo, bali pia zimeutikisa ubeberu kwenye sekta ya kiuchumi hasa Marekani,…
-
DuniaImamu wa Ijumaa wa Beirut: Kutoweka kwa Imam Musa Sadr kutokana na nafasi yake ya kuunganisha na kuunga mkono malengo ya haki ni pigo kubwa
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Ali Fadhlallah alisema: “Kutoweka kwa Imam Musa Sadr, kutokana na nafasi yake ya kuleta umoja wa kitaifa na Kiislamu, pamoja na kuunga mkono malengo…
-
DuniaPicha/ Hafla ya Maulidi Kitaifa yafanyika Mkoani Tanga, Mashia waonesha umoja na mshikamano usio na kifani
Hawza/ Sherehe ya Maulidi ya Kitaifa nchini Tanzania imefanyika usikubwa kuamkia leo Mkoani Tanga katika Wilaya ya Korogwe, huku viongozi Mashuhiri wakihudhuria katika hafla hiyo, na wafuasi…