-
DuniaTanzania Ithnaasharia Community (TIC) yatangaza Maulidi ya Mtume Muhammad (saw) ya Mwaka huu
Hawza/ Tanzania Ithnaasharia Community ikishirikiana na Hawza ya Imaam Sw'adiq (as) wametoa tangazo rasmi la Maulidi ya Mtume Muhammad (saw) mwaka huu wa 2025
-
DuniaHarakati ya Umma wa Lebanon: Kuuwawa Waziri Mkuu wa Yemen ni jinai ya Kizayuni inayokiuka mamlaka ya umma
Hawza/ Harakati ya Umma ya Lebanon katika tamko lake imetoa mkono wa pole kwa kuuwawa kishahidi kwa Ahmad Ghalib Al-Rahwi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Yemen, pamoja na idadi ya mawaziri wa nchi…
-
DuniaHizbullah: Uvamizi wa kinyama dhidi ya Yemen ni jinai mpya iliyoongezwa kwenye jalada la jinai za Wazayuni
Hawza/ Hizbullah katika tamko lake imetoa rambirambi zake za dhati na pole za kina kwa taifa ndugu la Yemen na uongozi wake wa mapambano chini ya uongozi wa Sayyid Abdulmalik Badruddin Al-Houthi
-
DuniaAl-Wala’i: Kupata Shahada viongozi wa Yemen ni Sanadi ya utiifu wa taifa hili kwa dhamira ya Palestina
Hawza/ Katibu Mkuu wa Kataib Sayyid al-Shuhada, ameeleza kuwa kuuawa kishahidi kwa viongozi wa Yemen katika shambulio la hivi karibuni lililofanywa na utawala wa Kizayuni ni ushahidi wa utiifu…
-
Ayatullah A‘rafi katika kikao na walimu pamoja na wanazuoni wafuasi wa Ahlul-Bayt nchini Malaysia:
HawzaMsimamo wa Jamhuri ya Kiislamu ni wa madhehebu tofauti na wenye kuzingatia umma wa Kiislamu
Hawza/ Ayatullah A‘rafi alibainisha kuwa msimamo wa Jamhuri ya Kiislamu katika miaka baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ni msimamo wa madhehebu tofauti na unaozingatia maslahi ya umma…
-
DuniaWaziri Mkuu wa Lebanon amuomba Sheikhul-Azhar kuzuru Lebanon
Hawzah/ Ofisi ya habari ya Nawaf Salam, Waziri Mkuu wa Lebanon, imeripoti kwamba yeye pamoja na ujumbe wake wakiwa mjini Cairo walikutana na Ahmad al-Tayyib, Sheikhul-Azhar
-
Imamu wa Ijumaa wa Najaf Ashraf:
DuniaTunataka Wa-Iraq waliokamatwa Saudi Arabia waachiwe huru
Hawzah/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi alisema: makumi ya Wairaqi wamekuwa wakishikiliwa katika magereza ya Saudi Arabia kwa zaidi ya mwaka mmoja, baadhi yao, kosa lao…