-
DuniaMwandishi wa Hawza: Ukimya wa watawala wa Kiislamu mbele ya njaa inayo wakabili watu wa Ghaza haufahamiki
Hawza/ Mtafiti wa kielimu wa Hawza ametaja kimya cha sasa cha jumuiya za Kiislamu na wanaharakati wa kiraia, kuwa ni miongoni mwa majibu ya kusikitisha zaidi ya Waislamu dhidi ya maadui katili…
-
DuniaAkili Mnemba Katika kutoa Huduma kwenye Arbaeen ya Hussein
Hawza/ Leo, badala ya kulalamikia vikwazo vya vyombo vya habari, inapaswa kutumika akili mnemba kwa ajili ya kuunda “chombo cha habari huru na chenye akili”; chombo cha habari ambacho kitaweza…
-
DuniaMkusanyiko Mkubwa Zaidi wa watu Wanaiounga Mkono Palestina huko Sydney Waishangaza Dunia
Hawza/ Idadi ya watu waliokuwa katika mkutano wa wanaoiunga mkono Palestina uliofanyika kwenye daraja la Harbour jijini Sydney ilizidi matarajio na makadirio yote!
-
DuniaIsraeli Yakiri Kwamba: “Watu Wote Wanaikhtalifiana na Sisi”
Hawza/ Katika kukiri kusiko na kifani, maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje wa utawala wa Kizayuni wametangaza kupungua kwa kiwango kikubwa cha wafuasi wa utawala huo katika uwanja wa kimataifa,…
-
DiniDarasa ya Akhlaq | Katika mitihani mizito ya Mwenyezi Mungu, wadhifa wetu ni upi?
Hawza/ Mitihani ya Mungu inaendelea kuwa migumu zaidi, na kila mtu, kulingana na nafasi na uwezo wake, ana wajibu mbele ya mitihani hii; jamii haiwezi kutahiniwa moja kwa moja, watu binafsi ndio…