-
Ayatollah A'rafi:
HawzaShule za kidini (Hawza) lazima ziwe na "mfumo wa Ijtihadi-Adabi"
Mudiri wa Hawza Nchi Irani, ameeleza kuwa ni muhimu kwa Hawza kuelekea katika kuunda mfumo wa ijtihadi-Adabi, amesema: “Kwa msingi huu, tunakaribisha masomo ya ijtihadi-Adabi ambayo yatakuwa…
-
Ayatollah al-‘Uzma Jawadi Amoli:
DiniSiku mwanafunzi wa dini au wa sekular anaposema "Nimehitimu", hiyo ndio siku ya kuangamia kwake
Ayatollah Jawadi Amoli alisema: "Kamwe katika elimu na maarifa usiangalie watu walio chini yako, bali angalia wale walio juu yako."
-
HawzaKikao cha kimataifa cha kutaka ukarabati wa Baqi’ chafanyika Qom
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya mwaka wa uharibifu wa kusikitisha wa makaburi ya Jannatul-Baqi’, kikao cha kimataifa kimefanyika katika mji mtukufu wa Qom, katika shule ya Imam Khomeini (r.a), kwa…
-
HawzaFilamu ya mustanadi ya “Imamu Khamenei” imeandaliwa na channel ya Al-Manar ya Lebanon ni Riwaya ya Maisha ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Filamu ya mustanadi ya “Imamu Khamenei” iliyozalishwa na kituo cha Al-Manar nchini Lebanon, katika sehemu nane iliyoandikwa na Ayman Zughayb, inasimulia maisha ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya…
-
Hukumu za kisheria:
DiniKugusa maandishi ya Qur'ani mtoto mdogo
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu swali la kifiqhi kuhusu "mtoto mdogo kugusa Qur'ani.
-
Ayatollah Arafi katika sala ya Ijumaa ya Qom:
HawzaTaifa la Iran halitasalim amri kwa mabavu na udhalilishaji / Nchi haipaswi kugawanyika pande mbili kwa sababu ya mazungumzo
Khatibu wa Ijumaa wa Qom alisema: madai ya taifa la Iran ni kwa ajili ya heshima na hadhi, ambapo kila hatua inapaswa kuchukuliwa kwa ushujaa wa hali ya juu, ujasiri, na kusimama imara dhidi…
-
Hadithi ya leo:
DiniKwa kumfurahisha mwanao, mfurahishe pia Mwenyezi Mungu
Mwenye kumfundisha mtoto wake Qur'an, basi mtoto huyo ataitwa [Siku ya Kiyama] pamoja na wazazi wake na kuwavisha mavazi mawili ambapo nyuso za watu wa peponi zitang'aa kutokana na nuru yao.
-
HawzaBaraza la Maulamaa wa kislamu nchini Lebanon limezitaka nchi za kiislamu kuchukua hatua za haraka kwa ajili ya kusaidia Ghaza.
Hawza/ Baraza la ulamaa wa kiislamu nchini Lebanoni katika maelezo yake kuzielekea nchi za kiarabu na kiislamu, limezitaka nchi hizo kuchukua hatua za haraka kwa ajili ya kusaidia Ghaza
-
HawzaOnyo kutoka kwa Maulamaa wa Pakistan: Kununua Bidhaa za Israeli ni Ushiriki katika Uhalifu wa Ghaza
Hawza/ Kufuatia uhalifu unaofanywa na utawala wa Kizayuni huko Gaza, maulamaa 33 mashuhuri wa Pakistan wametoa tamko la kihistoria wakitangaza kuwa matumizi ya bidhaa za Israeli ni haramu kisharia,…
-
HawzaKatibu wa Masuala ya Kigeni wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan: Jumuiya ya Kimataifa Isikae Kimya Kuhusu Mauaji ya Waislamu Nigeria
Hujjatul-Islam Sayyid Shafqat Shirazi, katika taarifa yake, amelaani vikali mauaji ya hivi karibuni nchini Nigeria yaliyotokea katika Siku ya Kimataifa ya Quds, na kuitaka jumuiya ya kimataifa…
-
HawzaAyatollah al-Udhma Makarem Shirazi: Mawahabi hawana uwezo wa kutosha wa kielimu kuchambua masuala ya Kiislamu
Hawza/ Hadhrat Ayatollah al-Udhma Makarem Shirazi ameweka wazi kuwa: Mawahabi, kutokana na kukosa uwezo wa kina wa kielimu katika kuchambua masuala ya Kiislamu hususan masuala ya tauhidi na ushirikina…