Hawza/ Ayatullah al-Udhma Jawadi Amuli, huku akizungumzia msimamo thabiti wa wananchi wa Iran mbele ya madola vamizi, amesema: “Madola mawili makubwa yalifanya mashambulizi, lakini yalidhalilishwa…
Hawza/ Ayatullah al-Udhma Makarim Shirazi, huku akisisitiza wajibu wa Umma wa Kiislamu katika kudai kisasi kwa ajili ya Kiongozi Shahidi, amesema: Wauaji na wahusika wa jinai hii kubwa, ambao…