Dkt. Muhammad Tahir al-Qadri, katika hotuba yake aliyoitoa kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya shahada ya Imam Ali (a.s), alielezea tukio hili kuwa ni janga kubwa katika historia ya Uislamu.
Nchini Pakistan; Kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kifo cha Imam Ali (a.s), miji ya nchi hiyo iligubikwa na hali ya majonzi. Makundi maalum ya kuomboleza yaliyo andaliwa kwa heshima maalum…