Hawza/ Harakati ya Umma ya Lebanon katika tamko lake imetoa mkono wa pole kwa kuuwawa kishahidi kwa Ahmad Ghalib Al-Rahwi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Yemen, pamoja na idadi ya mawaziri wa nchi…
Hawza/ Hizbullah katika tamko lake imetoa rambirambi zake za dhati na pole za kina kwa taifa ndugu la Yemen na uongozi wake wa mapambano chini ya uongozi wa Sayyid Abdulmalik Badruddin Al-Houthi