Siku ya Qudsi (8)
-
DuniaMtangazaji wa Habari kutoka Brazil anatumai kuwa, Quds itakuwa huru na Iran itapata ushindi
Hawza/ Brano Richa, mtangazaji wa habari kutoka Brazil na mshirika mkuu wa Palestina, ameelezea matumaini yake ya uhuru wa Quds kuwa ni jukumu la kila mtu duniani na ameitaja Iran kama mfano…
-
Sheikh Mustafa Mals ameelezea:
DuniaUmuhimu wa Umoja wa Kiislamu katika kuihami Quds na Suala la Palestina
Hawza/ Sheikh Mustafa Mals, Rais wa Umoja wa Mshikamano wa Kitaifa wa Lebanon, huku akisisitiza kwamba; Umoja wa Umma wa Kiislamu ni wajibu wa Qur'ani na ombi la Sheria ya Kiislamu, alisisitiza…
-
Mjumbe Mwanzilishi wa Baraza la Juu la Kiislamu la Iraq:
DuniaKuienzi Siku ya Quds ni jukumu dogo la kuonesha muendelezo wa heshima kwa kiongozi shahidi
Hawza/ Mjumbe mwanzilishi wa Baraza la Juu la Kiislamu la Iraq alikiri kwa heshima juhudi za kiongozi shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika harakati za kuikomboa Quds na kusisitiza ahadi mpya…
-
DuniaWakenya Waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Qudsi + Picha
Hawza/ Waumini wa dini ya Kiislamu nchini Kenya wameungana kwa mshikamano wa kipekee na Waislamu wenzao duniani kote kwa kushiriki katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Qudsi.
-
DuniaMlipuko wa hisia za watu wa Qum katika kuadhimisha Siku ya Qudsi/ Kiapo cha utii cha umma kwa Walii wa Amri/ Tuko tayari kujitoa hadi roho kwa ajili ya Iran
Hawza/ Matembezi ya kuvunja nguvu za maadui ya Siku ya Qudsi mwaka huu katika chimbuko la Mapinduzi ya Kiislamu pia yana wageni maalumu; leo miili mitakatifu ya mashahidi wapendwa inabebwa juu…
-
Ayatullah A’rafi katika Matembezi ya Kimataifa ya Siku ya Qudsi:
DuniaUwepo wa wananchi uwanjani, kujitolea kwa vikosi vya ulinzi na uongozi wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ni sababu tatu za nguvu ya mfumo mtukufu wa Jamhuri ya Kiislamu/ Tunapaswa kulishukuru taifa kubwa la Iran
Hawza/ Ayatullah A’rafi amesema: uwepo wa wananchi uwanjani, kujitolea kwa vikosi vya ulinzi na uongozi wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ni sababu tatu za nguvu ya mfumo mtukufu wa Jamhuri ya Kiislamu,…
-
DuniaMkutano wa Mtandaoni wa “Kongamano la Saba la Kimataifa la Qudsi Tukufu” umefanyika
Hawza/ Jumuiya ya Kimataifa ya Qadimun kwa kushirikiana na taasisi kadhaa za kimataifa imeandaa mkutano wa mtandaoni wa “Kongamano la Saba la Kimataifa la Qudsi Tukufu” kwa ushiriki wa wanazuoni…
-
Kiongozi wa Jumuiya ya Shia Ithnaasharia nchini Tanzania (TIC) + Picha
DuniaSiku ya Qudsi ni siku ya kutangaza amani duniani
Hawza/ Kiongozi wa Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC), Sheikh Hemedi Jalala, leo hii katika hafla ya maadhimisho ya Siku ya Qudsi Duniani, amesema kuwa; lengo kuu la siku hii ya Qudsi…