Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania (23)
-
DuniaSheikh Mkuu wa TIC Aungana na Viongozi wa Kiislamu katika Khitma ya Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, amehudhuria dua na kisomo cha khitma kwa ajili ya kumuombea marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan,…
-
DuniaTIC Yafika Zanzibar; Sheikh Jalala Aongoza Ujumbe wa Pole kwa Rais Samia, Kufuatia Msiba wa Mumewe
Hawzah/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, siku ya jana amefanya ziara ya Zanzibar kuelekea Kizimkazi kwa lengo la kutoa mkono wa pole kwa…
-
DuniaTIC Yamuenzi Sheikh Abdallah Seifu: Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania, Aongoza Hauli na Dua Lindi
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, jana Jumatano ameongoza zoezi la kisomo cha Khitma na dua maalumu kwa ajili ya kumuombea marehemu…
-
DuniaMaulana Sheikh Jalala Ahimiza Waislamu Kuendeleza Vikao vya Maulidi, Dua na Dhikri
Hawza/ Tarehe 04 Septemba 2026, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, amehudhuria hafla ya Maulidi iliyofanyika jijini Mwanza, katika mwendelezo…
-
DuniaMwanza Kuandika Historia ya Maulidi/ Hafla Kubwa ya Kumbukumbu ya Kuzaliwa Mtume (s.a.w.w.) Kufanyika Igogo
Hawza/ Wakazi wa jiji la Mwanza na maeneo ya jirani wanatarajiwa kushuhudia hafla kubwa na yenye kuleta furaha ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Mtukufu wa Uislamu, Muhammad Mustafa…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaDunia Inapaswa Kufuata Mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Hemedi Jalala, ametoa wito kwa jamii duniani kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.), akisisitiza kuwa maisha na mwenendo…
-
DuniaShangwe na Furaha Zatawala Kigogo, TIC Yaadhimisha Mazazi ya Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
Hawza/ Jumuiya ya Shia Ithnaashariyyah Tanzania (TIC) imeungana na Waislamu wote nchini katika kuadhimisha kwa shangwe na furaha kubwa kumbukumbu ya kuzaliwa Mtukufu wa daraja Mtume Muhammad…
-
DuniaTIC na Hawza Imam Swa’diq (as) Waanza Maadhimisho ya Maulidi ya Mtume (s.a.w.w.) kwa Hafla ya Samāi Dar es Salaam
Hawza/ Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), kwa kushirikiana na Hawza ya Imam Swa’diq (as), imeanza kwa hamasa maadhimisho ya Maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (s.a.w.w.), kupitia hafla maalumu ya…
-
DuniaHujjatul-Islam Mahdavi-Pour, Atembelea Ofisi ya Sheikh Mkuu wa Shia Tanzania, Ushirikiano wa Kielimu Wasisitizwa
Hawza/ Ofisi ya Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), jana ilipokea ugeni wa Hujjatul-Islam Mahdayi-Pour kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran,…
-
DuniaBaraza la Maulidi Lawaunganisha Viongozi wa Dini: Waziri Mkuu Atoa Wito wa Umoja, Upendo na Mshikamano
Hawzah/ Baraza la Maulidi limefanyika leo Jumanne likiongozwa na Mufti wa Tanzania, huku likiwakutanisha Masheikh na viongozi mbalimbali wa dini katika hafla iliyolenga kuadhimisha mazazi ya…
-
DuniaBendera ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) Yapandishwa Kigogo: Sheikh Jalala Atoa Wito wa Upendo, Amani na Mshikamano
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameongoza zoezi la upandishaji wa Bendera ya Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w), katika hafla iliyofanyika…
-
DuniaWaumini Waalikwa Katika Sherehe Kubwa ya Maulidi ya Mtume (saww) na Zafa Jijini Dar es Salaam
Hawza/ Uongozi wa Hawza ya Imam Swa’diq (as), kwa kushirikiana na Jumuiya ya Shia Ithnaasharia Tanzania (TIC), umeandaa hafla maalumu ya kusherehekea Maulidi ya Mtume Muhammad (saww), ikiwa ni…
-
DuniaHafla ya Kumbukizi ya Kifo cha Mtume (saww) Yafanyika Dar es Salaam Tanzania + Picha
Hawza/ Waumini wa jijini Dar es Salaam jana tareh 28 Swafar 1448, walikusanyika katika Msikiti wa Ghadiir uliopo Kigogo Post jijini humo, ili kushiriki katika maadhimisho ya Majlisi ya kumbukizi…
-
Dunia“Huyu Ndiye Mtume Muhammad (saww)”: Dar es Salaam Yatikiswa na Matembezi ya Maombolezo ya Kifo Chake
Hawza/ Katika hali ya huzuni, mapenzi na kumbukumbu ya kina juu ya Mtume Muhammad (saww), waumini wa Shia jijini Dar es Salaam wamefanya matembezi makubwa ya kuomboleza kifo cha Mtume wa Allah…
-
DuniaMazishi ya Sayyid Ali Khamenei Yalibeba Ujumbe Mkubwa kwa Umma; Maulana Hemed Jalala Aainisha Mafunzo Matano Muhimu Rufiji
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, jana alihudhuria na kusoma Majlisi ya kumbukumbu ya Sayyid Ali Khamenei iliyofanyika katika Husseiniyat…
-
Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania:
DuniaNukta Tano Muhimu Tunazojifunza Kutokana na Mazishi Makubwa ya Imam Shahidi Khamenei (ra)
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, amesema kuwa; maisha na mazishi ya Imam Shahidi Sayyid Ali Khamenei (ra) yamebeba mafunzo makubwa kwa Waislamu na…
-
DuniaSheikh Mkuu wa TIC Aongoza na Kushiriki Matembezi ya Amani ya Ashura Temeke; Ujumbe wa Umoja na Haki Watolewa + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Kiongozi Mkuu wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameshiriki katika Matembezi ya Amani ya kumbukizi…
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) Ashiriki Zoezi la Usafi Kumuenzi Imam Hussein (as) Jijini Dar es Salaam + Picha
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala, jana tareh 25 June 2026, ameshiriki katika zoezi la usafi wa mazingira lililofanyika katika maeneo ya Kigogo,…
-
DuniaSheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania Aongoza Majlisi ya Imam Hussein (as) Bilal Temeke; Atoa Nasaha Muhimu Kuhusu Imam Mahdi (as)
Hawza/ Katika mazingira yaliyojaa huzuni, tafakuri na mapenzi kwa Ahlul-Bayt (as), Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC) na Kiongozi Mkuu wa Hawza ya Imam Swadiq (as), Sheikh Hemed Jalala,…
-
Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:
DuniaVijana Tumieni Akili ili Muweze Kuitambua Haki na Kuepukana na Batili
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, amewahimiza vijana kutumia akili na fikra zao katika kutafakari masuala mbalimbali ya dini na maisha ili waweze…
-
Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:
DuniaMaadili katika Ukusanyaji na Ulipaji wa Kodi Ni Msingi wa Maendeleo na Umoja wa Taifa
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala, amesisitiza umuhimu wa kuzingatia maadili katika ukusanyaji na ulipaji wa kodi kwa akieleza kuwa; jambo hilo…
-
Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:
DuniaAmani ya Taifa ni Lulu Inayopaswa Kulindwa na Kuhifadhiwa
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Mashia nchini Tanzania, Maulana Sheikh Hemed Jalala, amesisitiza umuhimu wa kulinda amani, umoja na mshikamano wa kitaifa, huku akieleza kuwa; amani ni neema…
-
Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:
DuniaAmani, Umoja na Mshikamano wa Taifa ni Nguzo Kuu Inayopaswa Kuenziwa
Hawza/ Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania amewaomba wananchi na waumini wote nchini kuendelea kuilinda amani ya taifa, kudumisha umoja wa wananchi pamoja na kuimarisha mshikamano wa kijamii kama…