Anwar Ibrahim, Waziri Mkuu wa nchi ya Malaysia, katika hafla ya ufunguzi wa mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu, alisema: Kumiliki ujuzi wa Qur'ani pamoja na sayansi ya kisasa ikiwemo akili…
Mjumbe wa Jumuiya ya walimu wa Hawza ya Qom {Jamiat Mudarrisin} alieleza wazi kwamba: Kuwekeza nguvu katika mkakati mara nyingi kunahusiana na mienendo ya kawaida, na akili mnemba pia ina nafasi…
Akili Mnemba (AI) ni moja ya maendeleo makubwa ya kiteknolojia katika zama za kisasa na inatumiwa katika maeneo mengi, ikiwemo kuchakata maandiko ya kidini.