Kituo kinacho simamia na kuongoza Hawza katika taarifa yake kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya kubomolewa makaburi matukufu ya Maimamu wa Baqii (a.s), kimewataka wanazuoni na wasomi wa ulimwengu…
Marehemu Ayatollah Safi Golpayegani katika chapisho alilo liandika kuhusiana na mnasaba wa kumbukizi ya kubomolewa kwa makaburi ya Maimamu wa Baqii (a.s), alieleza wazi kuwa: Lengo ovu la maadui…