Kongamano la Mirza Na’ini (9)
-
DuniaUdharura wa kuimarisha mawasiliano ya kielimu kati ya Hawza za Iran na Iraq kwenye makongamano ya kimataifa
Hawza/ Mhadhiri wa Hawza ya Khorasan, akirejea nafasi adhimu ya Allama Naini na mchango wake katika kulea mara'ji na walimu mashuhuri, ametaka kuimarishwa na kuendelezwa kwa mawasiliano ya kielimu…
-
Ayatullah A‘rafi katika Kongamano la Mirza Naa’ini nchini Iraq:
DuniaMaraji' wakubwa wa Najaf na Qum leo hii, kama ilivyokuwa kwa Naa’ini, ni ngome imara dhidi ya uvamizi wa madhalimu Iraq, Iran na ulimwengu wa Kiislamu
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza Iran, amesema: Mirza Naa’ini alisimama mara nyingi dhidi ya Waingereza, na kila mara uhuru wa Uislamu na heshima ya Umma ulipokuwa hatarini, wanachuoni wakuu wa Najaf,…
-
DuniaHaram Tukufu ya Alawi yapokea Ujumbe wa Iran Unaoshiriki Kwenye Kongamano la Kimataifa la Allama Mirza Na’ini
Hawza/ Katika muktadha wa ushirikiano wa kitamaduni kati ya Iran na Iraq, Haram Tukufu ya Alawi siku ya Jumatano imeupokea ujumbe wa Iran uliokwenda kwenye Kongamano la Mirza Na’ini, ambalo linafanyik…
-
DuniaRipoti Kuhusiana na Kuanza Rasmi Kongamano la Kimataifa la Kumuenzi Ayatullah Mirza Na’ini Huko Najaf Ashraf
Hawza/ Kongamano la kimataifa la kumuenzi Allama Na’ini limefanyika kwa ushiriki wa wanazuoni na watu mashuhuri kwenye Haram Tukufu ya Alawi, na katika hafla hiyo pia kumezinduliwa mkusanyiko…
-
Ayatullah A‘rafi katika kikao na wasomi wa Iraq:
HawzaMarehemu Naini alikuwa na mchango wenye athari kubwa katika uwanja wa siasa na jamii
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza alibainisha kuwa: “Ameonesha kwamba faqihi anaweza kufuatilia masuala ya kielimu na wakati huo huo awe na nafasi yenye athari katika uwanja wa kisiasa na kijamii.”
-
Ayatullah al-‘Udhma Subhānī:
HawzaIjitihaidishaji wlya ubunifu na juhudi za kielimu za Mirza Nāīnī ni kielelezo kwa wanafunzi na watafiti wa Hawza
Hawza/ Ayatullah Subhānī alisema: Marehemu Mirza Nāīnī, kwa kutumia mbinu bunifu za kielimu katika fiqhi, kama vile kugawa kadhia katika vigawanyo vya kihakika (ḥaqīqiyyah) na vya kihalisia (khārijiyy…
-
Kiongozi wa Mapinduzi Irani, katika kikao na waandaaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Mirza Na’ini (ra) alifafanua:
HawzaUbunifu wa kielimu na fikra ya kisiasa ni sifa mbili mashuhuri za Allāmah Na’ini
Hawza/ Hotuba ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran, katika kikao na waandaaji wa Mkutano wa Kimataifa wa Allāmah Mirza Na’ini (r.a), huko Qom Iran, katika eneo la kufanyia mkutano huo.
-
Ayatullah A‘rafi katika Kongamano la Mirza Na’ini:
HawzaMirza Na’ini ni alama ya akili ya jihadi katika fikra ya Kiislamu / Kufufua kazi za wakubwa ni muongozo kwa hawza na chanzo cha msukumo kwa kizazi kijacho
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza alisisitiza kwamba; kufufua kazi za wakubwa ni mwongozo kwa hawza na chanzo cha ilhamu kwa vijana, akasema: Mirza Na’ini ni mfano wa akili ya kimujahidina na kiunganishi…