Imamu wa Ijumaa wa Qum (10)
-
Ayatullah Saiidi katika Swala ya Ijumaa mjini Qom:
DuniaUstahimilivu ni somo kubwa la Arubaini katika zama zetu za leo
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa wa Qom amesema: Arubaini ina mafunzo makubwa, na miongoni mwa mafunzo hayo ni ustahimilivu. Imam Hussein (as) kupitia harakati yake alibainisha kwamba; kipimo…
-
Ayatullah Saiidi katika Swala ya Ijumaa ya Qom:
DuniaArubaini ya Imam Hussein (as), ni alama ya umoja wa Umma wa Kiislamu/ Mshikamano wa wananchi umeidhalilisha Marekani na Wazayuni
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Qom amesema kuwa; Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi alikuwa akiitazama Swala ya Ijumaa kuwa ni kiungo muhimu katika mlolongo wa nguvu laini (Soft Power) wa…
-
Ayatullah Saidii:
DuniaBaadhi wanapaswa kujinasua kutoka katika dhana potofu ya kushikamana na mazungumzo yasiyo na manufaa na yenye madhara
Hawza/ Imamu wa Swala ya Ijumaa wa mji wa Qum amesema: Baadhi wanapaswa kujinasua kutoka katika dhana potofu ya kushikamana na mazungumzo yasiyo na manufaa na yenye madhara, kwa kuwa kufanya…
-
Ayatullah A'rafi Afafanua Katika Swala ya Ijumaa ya Qum:
DuniaNukta 12 na Mafunzo ya Kistaarabu ya Tukio la Kihistoria la Mazishi ya Imam Shahidi/ Kulipiza Kisasi kwa Damu ya Bwana Shahidi ni Haki ya Kisheria na ya Kikanuni ya Umma
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa wa Qum, akifafanua nukta na mafunzo yaliyotokana na ushiriki wa mamilioni ya watu katika mazishi ya kishujaa ya Imam Shahidi, alisisitiza kuwa: Umati wa mamilioni…
-
Ayatullah Saeedi katika Hotuba ya Swala ya Ijumaa Qom:
DuniaMazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ni Uwekezaji wa Kimkakati kwa Mustakabali
Hawza / Khatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Qom amesema: Shughuli za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ni uwekezaji wa kimkakati kwa ajili ya mustakabali na ni chanzo cha nishati kwa harakati…
-
Ayatullah Saidi katika Swala ya Ijumaa ya Qum:
DuniaKwa kumfuata Hadhrat Abbas (as), tuko tayari kutii amri za Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi/ Mafunzo 4 ya Suratul-Fath katika zama za leo
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum amesema: Kwa kuzingatia historia ya Marekani, tunajua kwamba haitekelezi ahadi zake, lakini kwa kuheshimu maelekezo ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi, tumedumisha…
-
Ayatullah Saidii katika Swala ya Ijumaa ya Qum alisema:
DuniaNjia sita za kukabiliana na vita mchanganyiko vya adui katika ujumbe wa mwisho wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum alisema: Adui ameielekeza nguvu yake katika maeneo mawili nyeti na ya kimkakati, na Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ametoa njia sita za kukabiliana nayo ambazo…
-
DuniaSimulizi ya Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Qom Iran, kuhusu usiku wa kuchaguliwa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi/ Kutii na kutekeleza amri za kiongozi ni wajibu wa kisheria
Hawza/ Khatibu wa swala ya Ijumaa mjini Qom alisema: Baraza la Wataalamu wa Uongozi lilikutana usiku wa tarehe 19 Ramadhani, mmoja wa wajumbe wa ofisi ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu…
-
Ayatullah Saeedi katika Swala ya Ijumaa ya Qum:
DuniaHatutaondoka barabarani mpaka adui ashindwe kikamilifu
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Qum, huku akirejelea umuhimu wa uwepo wa wananchi mitaani, alisema: Leo kwa amri ya Walii Faqihi hatutaondoka mitaani mpaka tutakapowapigisha magoti maadui…
-
Ayatullah Arafi katika hotuba za Swala ya Ijumaa alifafanua:
HawzaMakosa 14 ya kimahesabu aliyoyafanya adui katika vita vya kulazimishwa vya Ramadhani
Hawza/ Khatibu wa Swala ya Ijumaa wa Qum alielezea makosa 14 ya kimahesabu yaliyofanywa na adui katika vita vya Ramadhani, na kusisitiza kwamba; makosa hayo yamewaweka katika mashinikizo makubwa…