Hamas (7)
-
Harakati ya Nujabaa ikiwasemesha watawala wa Kiarabu:
DuniaJifunzeni kutokana na shambulio dhidi ya Qatar; nyinyi kwa maridhiano hamtakuwa salama kutokana na madhara ya Israeli
Hawza/ Harakati Nujabaa katika tamko lake, imelaani shambulio dhidi ya makao ya Hamas huko Doha na ikatoa onyo kwamba maridhiano na utawala wa Kizayuni hayaleti usalama kwa tawala za Kiarabu.
-
Jumuiya ya Wanazuoni Waislamu:
DuniaShambulizi la adui huko Doha linadhoofisha mamlaka ya Qatar, na Jumuiya ya kimataifa lazima ilaani tendo hili la kigaidi
Hawza/ Jumuiya ya Wanazuoni Waislamu wa Lebanon imesema kuwa: adui Mzayuni anaendelea na uvamizi wake na umefikia hatua ya kutaka kuwaua viongozi wa Hamas waliokuwa na jukumu la kusimamia mazungumzo.
-
DuniaHarakati ya Umma yalaani kukengwa viongozi wa Hamas huko Doha
Hawza/ Harakati ya Umma nchini Lebanon imelaani vikali uvamizi wa Kizayuni dhidi ya kikao cha viongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu Hamas kilichofanyika mjini Doha, mji mkuu wa Qatar.
-
DuniaHarakati ya Tawhidi al-Islami: Shambulio dhidi ya Qatar ni mwendelezo wa siasa ya uhalifu ulioandaliwa na ugaidi wa kiserikali unaoungwa mkono na Marekani
Hawza / Harakati ya Tawhidi al-Islami ya Lebanon katika tamko lake imesema: “Shambulio la Israel ni mwendelezo wa siasa ya uhalifu ulioandaliwa na hatua inayoeleweka kuelekea ugaidi wa kiserikali…
-
DuniaSheikh Qabalan: Marekani ni mshirika kamili wa Israel katika uhalifu wake wote
Hawza / Sheikh Ahmad Qabalan, Mufti Mkuu wa Ja‘fari wa Lebanon, katika tamko lake amesema: “Kwa nguvu zote na kwa uthabiti, tunalaani vikali ugaidi wa Kizayuni na unyama wa Israel.”
-
DuniaHizbullah: Shambulio lililofanywa na utawala wa Kizayuni mjini Doha limeonesha dhamira yake ya kweli ya kuendeleza vita na mauaji ya kimbari
Hawza / Hizbullah ya Lebanon imelaani shambulio la ghafla na la khiyana la utawala wa Kizayuni dhidi ya ujumbe wa uongozi wa Harakati ya Muqawama ya Kiislamu (Hamas) wakati wa kikao kilichokuwa…
-
DuniaHamas: Takriban watoto 19,000 wameuawa shahidi huko Ghaza
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas imetangaza kuwa, takriban watoto 19,000 wameshauawa shahidi huko Ghaza na takriban watoto 39,000 wamepoteza kwa uchache mzazi mmoja au wote…