Hawza/ Miongoni mwa sifa za msingi za serikali ya Imam Mahdi (a.s.) ni kuwa serikali hiyo itakubalika na watu wote na jamii zote za kibinadamu. Si tu watu wote wa ardhini, bali hata wakaazi wa…
Hawza/ Mfumo wa haki na uadilifu ambao Imam Mahdi (a.s) atauanzisha utakuwa ni serikali ambayo baada yake hakutakuwa na serikali nyingine yoyote. Kwa hakika, historia mpya ya maisha ya mwanadamu…
Hawza | Mafanikio ya serikali ya Imam Mahdi (a.s) ni ya kuvutia sana na yenye umuhimu mkubwa. Kwa kifupi, tunaweza kusema kuwa mafanikio haya yatakidhi mahitaji yote ya kiroho na kimwili ya mwanadamu…
Hawza/ Mwanadamu ameumbwa kutokana na vipengele viwili: mwili na roho, na mahitaji yake pia yamegawanyika katika sehemu mbili: ya kimada na ya kiroho. Kwa hivyo, ili afikie ukamilifu, ni lazima…