Kiongozi wa juu wa kidini na mfasiri maarufu wa Qur’ani Tukufu, huku akisisitiza kuwa kuzama katika bahari kuu ya Qur’ani na Ahlul-Bayt ni risala ya Hawza, alisema: Marehemu Ayatollah al-Udhma…
Mwanachuoni mkubwa katika ulimwengu ya Kishia, sambamba na kuelezea mchakato wa kihistoria wa kuundwa kwa Hawza za fiqhi na hadithi kutoka Madina tukufu hadi Qom, alisema: Marehemu Ayatollah…