Hawza/ Allamah Hasan Zadeh (ra), kwa kurejelea maneno ya Amirul-Mu’minin (as), analinganisha hali ya mwili na roho.
Hawza/ Ewe kiumbe bora, usijisahaulishe; uwepo huu wa thamani kubwa ni kazi ya kipekee ya Mwenyezi Mungu, ukimsahau Mungu, utajisahau mwenyewe pia, na huo ndio mwanzo wa kuanguka, basi jihadhari,…