Jumatano 25 Novemba 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Ayatollah Makarem Shirazi Amuenzi Ayatollah Waheed Khorasani; Marji' Aliyekuwa Kileleni mwa Fiqhi na Unyenyekevu

    HawzaAyatollah Makarem Shirazi Amuenzi Ayatollah Waheed Khorasani; Marji' Aliyekuwa Kileleni mwa Fiqhi na Unyenyekevu

    Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Mu’mini, katika hafla ya kuadhimisha usiku wa saba tangu kufariki Marji' Mkuu wa Taqlidi, Ayatollah al-Udhma Waheed Khorasani (q.s.), iliyofanyika kwa uwepo…

    2026-11-25 15:50
  • Hukumu za Kisheria | Kucheza Karata kwa Kutumia Kompyuta

    DiniHukumu za Kisheria | Kucheza Karata kwa Kutumia Kompyuta

    Hawza/ Ayatollah Shahidi Sayyid Ali Khamenei amejibu swali la kisheria (Istiftaa) lililohusu suala la «kucheza karata kwa kutumia kompyuta».

    2026-11-25 14:50
  • Ikhlasi ya Allamah Tabatabai; Shahidi Mutahhari Anukuu Similizi kutoka kwa Mwalimu Wake

    DiniIkhlasi ya Allamah Tabatabai; Shahidi Mutahhari Anukuu Similizi kutoka kwa Mwalimu Wake

    Hawza/ Inawezekanaje mwanachuoni kutumia miaka thelathini katika juhudi za kielimu na kuandika tafsiri yenye thamani kubwa, lakini hata kwa kazi hiyo kubwa asijione kuwa anastahili kupata thawabu?…

    2026-11-25 13:50
  • Ayatollah Arafi Amewasilisha Rambirambi Zake kwa Ayatollah Sheikh Isa Qassim

    DuniaAyatollah Arafi Amewasilisha Rambirambi Zake kwa Ayatollah Sheikh Isa Qassim

    Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, ametoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mke wa Ayatollah Sheikh Isa Qassim.

    2026-11-25 12:50
  • Kila Mara Nchi Inapokabiliwa na Vitisho na Migogoro, Basij Huwa Wanajitokeza Uwanjani/ Jihadi ya Kubainisha Ukweli; Jukumu la Basij na Mwanachama wa Basij Katika Kipindi cha Sasa

    Katika Taarifa ya Kituo cha Usimamizi wa Hawza Nchini Iran, Kutikana na mnasaba wa Wiki ya Basij Imeelezwa:

    DuniaKila Mara Nchi Inapokabiliwa na Vitisho na Migogoro, Basij Huwa Wanajitokeza Uwanjani/ Jihadi ya Kubainisha Ukweli; Jukumu la Basij na Mwanachama wa Basij Katika Kipindi cha Sasa

    Kituo cha Usimamizi wa Hawza nchini Iran, huku kikiiadhimisha Wiki ya Basij na kuenzi kumbukumbu ya mashahidi watukufu, kinasisitiza umuhimu wa kueneza utamaduni wa Basij katika nyanja zote za…

    2026-11-25 11:56
  • Falsafa za ziada na mjadala wa mifumo ya Kiislamu viwekwe katika kiini cha shughuli za kitaaluma/ Asisitiza kufanyika darsa 100 za maandalizi ya Fiqhi ya kisasa

    Ayatullah Arafi:

    DuniaFalsafa za ziada na mjadala wa mifumo ya Kiislamu viwekwe katika kiini cha shughuli za kitaaluma/ Asisitiza kufanyika darsa 100 za maandalizi ya Fiqhi ya kisasa

    Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, Ayatullah Alireza Arafi, wakati wa ziara yake katika Madrasat Imam Shahid, amesisitiza umuhimu wa kupewa kipaumbele maalumu kwa Fiqhi ya kisasa, falsafa za ziada,…

    2026-11-25 07:27
  • Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Ataka Mabadiliko katika Namna ya Kutumia Mitandao ya Kijamii

    DuniaKiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Ataka Mabadiliko katika Namna ya Kutumia Mitandao ya Kijamii

    Hawza/ Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, amesisitiza umuhimu wa kutumia mitandao ya kijamii kwa busara na kwa kuzingatia maadili, huku akitaka kufanyika mabadiliko…

    2026-11-25 06:38

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom