Jumamosi 31 Oktoba 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Wananchi wa Iran wamesimama pamoja na uongozi wao kwa nguvu zao zote

    Rais wa Baraza la Waislamu wa Kisufi Nchini Yemen:

    DuniaWananchi wa Iran wamesimama pamoja na uongozi wao kwa nguvu zao zote

    Hawza/ Sayyid Adnan Al-Junaid, Mwenyekiti wa Baraza la Usufi nchini Yemen, huku akirejelea juhudi za miongo kadhaa zilizofanywa na maadui kwa lengo la kuudhoofisha Umma wa Kiislamu, ameeleza…

    2026-10-31 17:10
  • Mwamko wa watu wa Iran unaweza kuwa msingi wa kuamsha mwamko mpana wa Umma wa Kiislamu

    Sheikh Ahmad Awang:

    DuniaMwamko wa watu wa Iran unaweza kuwa msingi wa kuamsha mwamko mpana wa Umma wa Kiislamu

    Hawza/ Sheikh Ahmad Awang, Mwenyekiti wa Umoja wa Kimataifa wa Misikiti katika kutetea Msikiti wa Al-Aqsa, huku akirejelea tajiriba ya wananchi wa Iran, amesisitiza umuhimu wa kugeuza mshikamano…

    2026-10-31 16:10
  • Kuwepo makabila mbalimbali ya Iran na ushiriki wa Shia na Sunni katika shughuli za kijamii ni dhihirisho la mshikamano wa kitaifa na kidini

    Mamusta Iqbal Bahmani:

    DuniaKuwepo makabila mbalimbali ya Iran na ushiriki wa Shia na Sunni katika shughuli za kijamii ni dhihirisho la mshikamano wa kitaifa na kidini

    Hawza/ Mamusta Iqbal Bahmani, mwakilishi wa wananchi wa Kurdistan Iran, katika Baraza la Wataalamu wa Uongozi, huku akifafanua dhana ya Qur’ani ya Ba‘thah (kupewa utume na kuanzisha mwamko),…

    2026-10-31 15:10
  • Wananchi wa Iran wako katika njia ya kutimiza harakati ya kidini na kijamii ya kimataifa

    Rais wa Jumuiya za Ahlul-Bayt nchini Uturuki:

    DuniaWananchi wa Iran wako katika njia ya kutimiza harakati ya kidini na kijamii ya kimataifa

    Hawza/ Hassan Qanaatli, Mkuu wa Jumuiya za Ahlul-Bayt nchini Uturuki, huku akisisitiza nafasi ya fikra na tafakuri katika kufanikisha mabadiliko, ameutaja Muqawama wa taifa la Iran na athari…

    2026-10-31 14:10
  • Muqawama wa Iran ni fursa ya kihistoria ya kubadilisha mizania ya nguvu duniani

    Dkt. Manal Fanjan:

    DuniaMuqawama wa Iran ni fursa ya kihistoria ya kubadilisha mizania ya nguvu duniani

    Hawza/ Dkt. Manal Fanjan, mhadhiri wa Sheria za Kimataifa katika chuo kikuu nchini Iraq, akizungumzia makabiliano ya Iran dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni, ameutaja muqawama wa Iran kuwa…

    2026-10-31 13:10
  • Jibu kali la Vikosi vya Jeshi dhidi ya mzingiro wa adui litatolewa kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa

    DuniaJibu kali la Vikosi vya Jeshi dhidi ya mzingiro wa adui litatolewa kwa mujibu wa ratiba iliyopangwa

    Hawza/ Mkuu wa Shirika la Ulinzi wa Kiraia nchini Iran, wakati wa ziara yake mjini Qom, amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu haitavumilia mzingiro wa baharini, angani na ardhini, na ametangaza…

    2026-10-31 12:10
  • Hukumu ya kunyongwa Sheikh Matouq ni shambulio dhidi ya utambulisho na haki za kidini za Waislamu, na ni jaribio la wazi la kudhoofisha ushawishi na heshima ya maulamaa wa Kiislamu

    Ayatullah A'rafi katika taarifa ya kulaani hukumu ya kunyongwa Sheikh Matouq

    HawzaHukumu ya kunyongwa Sheikh Matouq ni shambulio dhidi ya utambulisho na haki za kidini za Waislamu, na ni jaribio la wazi la kudhoofisha ushawishi na heshima ya maulamaa wa Kiislamu

    Hawza/ Kwa kulaani mwenendo huu wa dhuluma na hukumu iliyotolewa kinyume cha sheria, nasisitiza kwamba ni wajibu wa serikali na mamlaka zinazohusika nchini Kuwait, kwa kuzingatia msingi wa udugu…

    2026-10-31 11:10
  • Taifa la Iran halitadanganyika na wito wa mazungumzo wala ujumbe wa adui

    Imamu wa muda wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran:

    DuniaTaifa la Iran halitadanganyika na wito wa mazungumzo wala ujumbe wa adui

    Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Haj Ali Akbari, akizungumzia maombi ya Marekani ya kufanya mazungumzo, kutuma barua na kuwatuma wapatanishi, alisema: Taifa la Iran, likitegemea uzoefu wake…

    2026-10-31 10:10
  • Nguvu ya jamii ya Kiungu huchipuka kutokana kumtumikia Mwenyezi Mungu, si katika kujitegemea na kujiona bora

    Ayatullah Saidii katika Swala ya Ijumaa mjini Qum

    DuniaNguvu ya jamii ya Kiungu huchipuka kutokana kumtumikia Mwenyezi Mungu, si katika kujitegemea na kujiona bora

    Hawza/ Imamu wa Swala ya Ijumaa mjini Qum, akieleza kwamba Mwenyezi Mungu ameunganisha ghadhabu na ridhaa Yake na ghadhabu na ridhaa ya Bibi Fatimah (sa), ili kuwaweka Waislamu katika njia ya…

    2026-10-31 09:10
  • Maadhimisho ya siku arubaini tangia kufariki Marji' wa Taqlidi aliyekuwa katika kilele cha maadili na ufaqihi

    Kwa kuhudhuriwa na Ayatullah al-Udhma Subhani:

    HawzaMaadhimisho ya siku arubaini tangia kufariki Marji' wa Taqlidi aliyekuwa katika kilele cha maadili na ufaqihi

    Hafla ya siku ya arubaini tangia kufariki Ayatullah al-Udhma Shubayri Zanjani (ra), Marji' wa Taqlidi aliyekuwa katika kilele cha ufaqihi na maadili, ambaye hata Walii Amri wa Waislamu alikuwa…

    2026-10-31 08:10
  • Tujifunze kwa Bibi Zahraa (as) Jinsi ya Kulea Watoto Wachamungu na Wenye Maadili

    Sheikh Mkuu wa Mashia Tanzania:

    DuniaTujifunze kwa Bibi Zahraa (as) Jinsi ya Kulea Watoto Wachamungu na Wenye Maadili

    Hawza/ Sheikh Mkuu wa Jumuiya ya Shia Tanzania (TIC), Maulana Sheikh Hemed Jalala Mwakindenge, ameitaka jamii ya Kiislamu kuweka mkazo katika malezi bora ya watoto kwa kuzingatia misingi ibada…

    2026-10-31 07:10
  • Kulipa Kitako cha Tashahudi Kilichosahaulika

    Hukumu za Kisheria:

    DiniKulipa Kitako cha Tashahudi Kilichosahaulika

    Hawza/ Ayatullah Shahidi Sayyid Ali Khamenei (ra) amejibu swali la Istiftaa lililowasilishwa kwake kuhusu suala la «kulipa Tashahudi iliyosahaulika».

    2026-10-31 06:53

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom