Ijumaa 23 Oktoba 2026
  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Mwamko wa Taifa la Iran ni Dhihirisho la Umoja na Mapambano Dhidi ya Njama za Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Mwenyekiti wa Baraza la Masayyid Kurdistan:

    DuniaMwamko wa Taifa la Iran ni Dhihirisho la Umoja na Mapambano Dhidi ya Njama za Marekani na Utawala wa Kizayuni

    Hawza/ Sayyid Mahdi Takht-Firuzeh, Mwenyekiti wa Baraza la Masayyid wa Mkoa wa Kurdistan, amesisitiza kuwa mwamko wa taifa la Iran ni dhihirisho la umoja na mapambano dhidi ya njama za Marekani…

    2026-10-23 12:30
  • Mwamko wa Umma wa Kiislamu Utaendelea Kupitia Kufuata Maadili ya Imam Khamenei na Umoja wa Kiislamu

    Sayyid Bahauddin Naqshbandi:

    DuniaMwamko wa Umma wa Kiislamu Utaendelea Kupitia Kufuata Maadili ya Imam Khamenei na Umoja wa Kiislamu

    Hawza/ Sayyid Bahauddin Naqshbandi, kiongozi wa Tariqa ya Naqshbandiyya katika eneo la Kurdistan, amesisitiza kuwa mwamko wa Umma wa Kiislamu utaendelea kwa kufuata maadili na malengo ya Imam…

    2026-10-23 11:30
  • Balozi wa Iran Majid Saffar Aagana na Mufti wa Uganda/ Asisitiza Kudumisha Uhusiano

    DuniaBalozi wa Iran Majid Saffar Aagana na Mufti wa Uganda/ Asisitiza Kudumisha Uhusiano

    Hawza/ Balozi wa Iran anayemaliza muda wake nchini Uganda, Mhe. Majid Saffar, ameipongeza Serikali ya Uganda pamoja na uongozi wa Waislamu kwa ushirikiano alioupata katika kipindi chake cha uwakilishi…

    2026-10-23 11:00
  • Mawakili Tisa wa Kike Wenye Asili ya Palestina Wahitimu Mafunzo ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Birzeit

    DuniaMawakili Tisa wa Kike Wenye Asili ya Palestina Wahitimu Mafunzo ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Birzeit

    Hawza/ Mawakili tisa vijana wa kike wenye asili ya Palestina, waliotumwa kusomea sheria katika Chuo Kikuu cha Birzeit, wamehitimu mafunzo yao. Palestina inaendelea kuwekeza katika kukuza uelewa…

    2026-10-23 10:30
  • Mwamko wa Watu wa Iran ni Mfano wa Umoja na Nguvu ya Umma wa Kiislamu Dhidi ya Maadui

    Sheikh Abduljabbar Fahdawi:

    DuniaMwamko wa Watu wa Iran ni Mfano wa Umoja na Nguvu ya Umma wa Kiislamu Dhidi ya Maadui

    Hawza/ Sheikh Abduljabbar Fahdawi, Mkuu wa Bodi ya Utawala ya Baraza la Riba'ti Muhammadi nchini Iraq, huku akisisitiza kuwa mwamko wa watu wa Iran ni mfano wa umoja na nguvu ya Umma wa Kiislamu…

    2026-10-23 09:30
  • Ikhlasi Katika Matendo na Kuwafuata Ahlul-Bayt (as) Ndio Njia ya Kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu

    Hujjatul-Islam wal-Muslimin Amili:

    DuniaIkhlasi Katika Matendo na Kuwafuata Ahlul-Bayt (as) Ndio Njia ya Kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu

    Hawza/ Mwakilishi wa Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Mkoa wa Ardabil Iran, huku akieleza hatua za safari ya kiroho na malezi ya nafsi amesema kuwa; ikhlasi katika matendo, kumfuata…

    2026-10-23 08:30
  • Utamaduni wa Ahlul-Bayt (as) Una Wafuasi Wengi Duniani/ Tuwasilishe Maarifa ya Dini kwa Lugha na Mtindo wa Kisasa

    Ayatullah Rajabi:

    DuniaUtamaduni wa Ahlul-Bayt (as) Una Wafuasi Wengi Duniani/ Tuwasilishe Maarifa ya Dini kwa Lugha na Mtindo wa Kisasa

    Hawza/ Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu na Utafiti ya Imam Khomeini (ra), huku akisisitiza kuwa uzuri wa utamaduni tajiri wa Uislamu na Ahlul-Bayt (as), kutokana na kuafikiana kwake kikamilifu…

    2026-10-23 07:29

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan
  • Italiano
  • Hausa
  • indonesia
  • 中文

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom