-
Shirika la Haki za Binadamu Yemen:
DuniaKuvunjwa Heshima ya Miili ya Mashahidi wa Taiz ni Uhalifu wa Kivita
Hawza/ Ali Taysir amesisitiza: Uhalifu wa kuivunjia heshima miili ya mashahidi wa majeshi ya nchi na kuwavua nguo ni uhalifu kamili wa kivita, na tutawafikisha wahalifu hao mbele ya sheria katika…
-
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Wa'dhii:
DuniaAkili Mnemba ni Msaidizi wa Utafiti, Sio Mbadala wa Mwanazuoni wa Dini
Hawza/ Mwanazuoni wa Chuo Kikuu cha Baqiyatullah (as) amesema kuwa akili mnemba inaweza kuwa na mchango katika utafiti na ufundishaji wa urithi wa Kiislamu, akisisitiza kwamba kutokana na uwezekano…
-
DuniaMkurugenzi Mpya wa Jamiatul Mustafa Nchini Nigeria Akutana na Sheikh Ibrahim Zakzaky
Hawza/ Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky, amempokea nyumbani kwake mjini Abuja Hujjatul-Islam Sayyid Mahdi Tabataba’i, Mkuu mpya wa Jamiatul Mustafa nchini Nigeria,…
-
Mwanaharakati wa Arbaeen kutoka Nigeria:
DuniaArbaeen Nchini Nigeria Imegeuka Kuwa Sehemu ya Maisha na Malezi ya Kizazi Kinachohimili Changamoto
Hawza/ Fatima Siddiqa Glima amesema: Arbaeen nchini Nigeria, licha ya uhaba wa vifaa na huduma pamoja na hatari za kiusalama, imekuwa sehemu ya mtindo wa maisha ya familia, na ushiriki wa watoto…
-
DuniaMisri Yalaani Kuingia Mamia ya Walowezi wa Israel katika Msikiti wa Al-Aqsa
Hawza/ Misri imelaani kuingia mamia ya walowezi wa Israel katika eneo la Msikiti wa Al-Aqsa, mjini Quds, na kuonya kuhusu jitihada za kubadilisha hali ya kihistoria na kisheria iliyopo katika…
-
DuniaVita Dhidi ya Matakatifu, Juhudi za Serikali ya Bahrain za Kuondoa Utambulisho wa Kidini katika Jamii ya Mashia
Hawza/ Waziri wa Mambo ya Ndani wa Bahrain ametishia kuongeza hatua dhidi ya Mashia wa nchi hiyo na kufanya suala la wanazuoni waliofungwa kuwa gumu zaidi.
-
Ayatullah Rajabi Katika Darsa ya Juu ya Usul:
DuniaWote Walioamuru na Waliohusika Katika Kuuwawa Imam Shahidi, Wanastahili Hukumu ya Kuuwawa
Hawza/ Ayatullah Rajabi Katika Darsa ya Juu ya Usul amesema: Wote Walioamuru na Waliohusika Katika Kuuwawa Imam Shahidi, Wanastahili Hukumu ya Kuuwawa.