-
Mwandishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa:
DuniaSera ya kuiangamiza Palestina imegeuzwa na Israel kuwa mkakati wa kimfumo
Hawza/ Mwandishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya haki za binadamu nchini Palestina ameonya kuhusu kuongezeka kwa mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni na walowezi…
-
DuniaPendekezo la kutuma ujumbe wa rambirambi kwa Marekani lazua mvutano katika Bunge la Jordan
Hawza/ Pendekezo la mmoja wa wabunge wa Jordan la kutuma ujumbe wa rambirambi kwa Bunge la Marekani (Congress) kufuatia kuuawa kwa wanajeshi kadhaa wa Marekani katika shambulio dhidi ya kambi…
-
Mwanazuoni wa Ahlu Sunna kutoka Pakistan:
DuniaKiongozi Shahidi alikuwa anilinda heshima na matukufu ya Uislamu
Hawza/ Mufti Sayyid Ashiq Hussein amesema: “Kiongozi Shahidi, Ayatullah al-Udhma Sayyid Ali Khamenei, kwa ustahimilivu na msimamo wake wa kipekee, alitekeleza jukumu la kudumu katika kulinda…
-
Mkurugenzi wa Ataba Tukufu ya Imam Hussein (as):
DuniaHarakati ya Imam Hussein (as) ni mradi wa milele wa kupambana na dhulma
Hawza/ Hassan Rashid Jawad Al-Abayiji, amesisitiza kuwa; kadhia ya Palestina leo ndio dhihirisho hai la mwendelezo wa ujumbe wa Imam Hussein (as) wa kuwanusuru wanaodhulumiwa na kuutetea ukweli.
-
DuniaChuo Kikuu cha Al-Zahra mjini Karbala chawa mwenyeji wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Ulingano wa al-Aqsa”
Hawza/ Chuo Kikuu cha Al-Zahra mjini Karbala kilikuwa mwenyeji wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Nidaa al-Aqsa”, lililohudhuriwa na wajumbe na shakhsia kutoka nchi mbalimbali.
-
DuniaAyatullah A'rafi atembelea nyumba ya Marehemu Ayatullah al-Udhma Fayyadh
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza nchini Iran, akiendelea na ziara yake nchini Iraq, alitembelea nyumba ya Marehemu Ayatullah al-Udhma Sheikh Is'haq Fayyadh, mmoja wa Marajii Wakuu wa Taqlidi nchini…
-
Katika Kongamano la “Ulingano wa al-Aqsa” mjini Karbala:
DuniaAyatullah A'rafi asisitiza kuwa, Iran itaendelea kuiunga mkono Palestina
Hawza/ Ayatullah A'rafi katika hotuba yake kwenye kikao cha ufunguzi wa Kongamano la Tano la Kimataifa la “Nidaa al-Aqsa” lililofanyika Karbala, alisisitiza kuendelea kwa uungaji mkono wa Jamhuri…