-
DuniaAyatullah Kaabi Aeleza Masharti Yanayopaswa Kuzingatiwa kwa Ajili ya Kumaliza Vita vy Kulazimishwa
Hawza/ Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom amesema: Mfumo Mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe hautavuka mistari myekundu inayohusiana na haki za taifa la Iran, na…
-
DuniaRais wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Ahlul-Bayt wa Uturuki Asifu Uthabiti na Nguvu ya Watu wa Iran
Hawza/ Rais wa Jumuiya ya Wanazuoni wa Ahlul-Bayt wa Uturuki amesema kuwa; kizazi kipya cha Iran, kufuatia matokeo ya vita vya hivi karibuni dhidi ya Iran, kimeuishi “utamaduni wa Muqawama” si…
-
DuniaDondoo za Shughuli za Kuaga na Mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi Zaainishwa
Hawza/ Kamati ya Maadhimisho ya Kupaa Damu ya Imam Mujahid Shahidi, Ayatullah al-Udhma Khamenei, katika taarifa yake ya tatu, imetangaza maelezo ya sherehe za kuaga na mazishi ya Imam Shahidi…
-
Imamu wa Swala ya Ijumaa wa Baghdad:
DuniaNchi kujitegemea ni Mstari Mwekundu; Iraq Inahitaji Uelewa wa Kisiasa wa Kukataa Uingiliaji wa Kigeni
Hawza/ Ayatullah Sayyid Yasin Mousawi amesisitiza kwamba; “Nchi kujitegemea ni mstari mwekundu” kwa Iraq, na ameonya kwamba; juhudi za kueneza na kuimarisha utamaduni wa utegemezi kwa mataifa…
-
Mwandishi wa Uturuki Aishambulia Vikali Beirut:
DuniaSerikali ya Lebanon Imesimama Pamoja na Muqawama au Pamoja na Israel?
Hawza/ Ahmad Varol, mchambuzi wa masuala ya kisiasa kutoka Uturuki, amekosoa misimamo ya serikali ya Lebanon kuhusu Hizbullah na Iran, akisisitiza kwamba viongozi wa Lebanon, badala ya kukabiliana…
-
Sheikh Ahmad Qabalan:
DuniaHatuitoi Lebanon kwa Wazayuni na Mawakala Wao
Hawza/ Mufti Mkuu wa Ja'faria na mwanazuoni mashuhuri wa Lebanon amesema: Kinachotokea leo kinaiweka mamlaka ya Lebanon mikononi mwa wale walioigeuza kuwa mtaji wa kisiasa na zawadi ya kiusalama…