-
DiniKioo cha Unabii: Wakati Binti wa Mtume Alipokuwa Katika Daraja la Unabii
Hawza/ Bibi Fatima Zahra (amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake) aliishi siku sabini na tano baada ya Mtume, na katika kipindi hiki Jibril Amin alikuwa akiteremka mara kwa mara juu yake na kueleza…
-
Mkusanyiko wa Wanazuoni wa Lebanon:
DuniaMsimamo wa Kichochezi wa Wanaodai Kuhifadhi Uhuru wa Mamlaka, kwa Hakika ni wa Khiyana na Unaendana na Adui wa Kizayuni
Hawza/ Mkusanyiko wa Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon katika taarifa yake ulisema: Adui bado anaendelea na hujuma zake kwa kuvunja makubaliano ya kusitisha mapigano na Azimio namba 1701, na kwa…
-
Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu wa Lebanon:
DuniaJihadharini na Mtego Ulio Jikita Kwenye Mazungumzo
Hawza/ Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu nchini Lebanon, katika taarifa yake baada ya kikao chake cha kila mwezi, ilitoa onyo kuwa, ni lazima kujihadhari na mtego wa kile kinachoitwa “mazungumzo”.
-
DuniaKukosa Usalama na Kutoridhika Ndani ya Mwaka Mmoja wa Utawala wa Jolani Sirya
Hawza/ Katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangia kuanguka kwa Bashar al-Assad, iwapo Jolani na timu yake hawataweza kutatua matatizo mengi ya kiuchumi, kijamii na kisiasa ya Syria na kutoa mtazamo…
-
Ayatullah A‘arafi Katika Kongamano la Mwaka la Wawakilishi wa Wanafunzi na wanazuoni wa Hawza:
HawzaUshiriki Hai wa Hawza Katika Muundo wa Fikra za Kijamii na Mifumo ya Nchi ni Hitaji Lisilopingika
Ayatullah A‘arafi alisisitiza: ushiriki hai wa Hawza katika muundo wa fikra za jamii na katika mifumo ya nchi ni hitaji lisilopingika. Japokuwa Hawza imekuwa na uwepo katika nyanja nyingi na…