-
DiniUtukufu wa ibada ya Bibi Zahraa (a.s) Kulingana na Mtazamo wa Ayatullah A-Udhma Javadi Amoli
Hawza/ Ayatullah Javadi Amoli amebainisha kuwa: Bibi Zahraa (a.s) alipokuwa akisimama kuswali alikuwa akijikita kiasi kikubwa kwenye utukufu wa Mwenyezi Mungu na kupotea kabisa katika jalali…
-
DuniaMaonesho ya Kwanza ya Sanaa ya Kiislamu nchini Korea Kusini Yawashangaza Wahudhuriaji
Hawza/ Jumba la Makumbusho la Taifa la Korea Kusini limeitenga sehemu ya ghorofa ya tatu ya jengo lake kuwa hifadha ya sanaa za Kiislamu, na imepangwa kuwa kuanzia Ijumaa sehemu hii itakuwa wazi…
-
DuniaRais wa Lebanon Alaani Vikali Shambulio la Israel huko Dhahia
Hawza/ Joseph Aoun ametangaza kuwa shambulio la Dhahia kusini mwa Beirut na Israel, na kuingiliana kwa shambulio hili na maadhimisho ya Siku ya Uhuru, ni uthibitisho mwingine kwamba Israel haiutilii…
-
DuniaSheikh Ahmad Qablan, Aikosoa Vikali Serikali ya Lebanon
Hawza/ Mwanazuoni mashuhuri wa Lebanon katika tamko lake amelaani shambulio la jinai lililofanywa na jeshi la Kizayuni huko Dhahia kusini, ambalo lililenga moyo wa uamuzi wa kitaifa wa Lebanon—yaani…
-
DuniaMjumbe Mwandamizi wa Hizbullah: Tutachukua Uamuzi Mwafaka Kuhusiana na Uvamizi wa Israel
Hawza/ Mahmoud Qomati amesisitiza kuwa shambulio la Israel dhidi ya Dhahia kusini mwa Beirut ni ujumbe wa uhasama na ni uvunjaji wa mamlaka ya Lebanon.
-
DuniaIran Yalaani Vikali Mauaji ya Kamanda Mkubwa wa Muqawama
Hawza/ Wizara ya Mambo ya Nje na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa wamelaani vikali uhalifu wa kigaidi uliofanywa na utawala wa Kizayuni katika shambulio dhidi ya maeneo ya makazi huko…