-
Ayatullah al-Udhma Wahid Khorasani:
DiniKuhuisha Masiku ya F'atwimiyya ni Utumishi Ulio Mkubwa Zaidi
Hawza/ Ayatullah Wahid Khorasani walisema: “Utumishi ulio mkubwa zaidi siku hizi ni kuhuisha masiku ya bibi Fatimah. Jambo la Bibi Zahra (amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake) lina upekee kwa…
-
Mwakilishi wa Bunge la Lebanon:
DuniaWajibu wetu wa kitaifa na wa kisheria unatiwajibisha kuitetea ardhi yetu
Hawza/ Ali Kharis, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Amal na mwakilishi wa Bunge la Lebanon, amesisitiza kuwa uchaguzi wa bunge utafanyika kwa mujibu wa sheria iliyopo na katika muda…
-
Imamu wa Ijumaa wa Michigan:
DuniaUshindi wa Iran katika vita vya siku 12 umetokana na uwezo wa ndani na uongozi wenye hekima
Hawza/ Imamu wa Ijumaa wa Michigan ameeleza kuwa ushindi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika vita vya siku kumi na mbili ni ishara ya kutegemea uwezo wa ndani pamoja na uongozi wenye hekima…
-
DuniaIstanbul yaandaa kumbukizi ya Allamah Tabataba’i (ra)
Hawza/ Katika semina iliyoandaliwa kutokana na juhudi za “Akademi ya Kawthar”, mtafiti na mwandishi kutoka Uturuki, Bwana Musa Güneş, alitoa muhadhara na kuchambua nafasi na mchango wa Allamah…
-
DuniaMuungano wa Muqawam kutoka Palestina hadi Caracas na Havana; Jiografia Tatu dhidi ya Ubeberu wa Magharibi
Hawza/ Katika mazingira ambayo vita, vikwazo na mzingiro vimekuwa nyenzo endelevu za nguvu za mataifa ya Magharibi, mataifa matatu—Palestina, Venezuela na Cuba—pamoja na umbali wa kijiografia…
-
DuniaMaduro: Kuitetea Palestina ni jukumu la kihistoria na tukufu
Hawza/ Rais wa Venezuela, katika maadhimisho ya mwaka wa kuadhimishwa kwa tangazo la uhuru wa Palestina, amesisitiza msimamo thabiti na wa kihistoria wa Caracas katika kuutetea mustakabali wa…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (56)
DiniNjia za Kumtambua Imam (a.s.)
Hawza/ Bila shaka mojawapo ya majukumu muhimu ya waja mbele ya Mola wao ni kumjua huyo Mwenye Hadhi Tukufu. Maarifa haya hufikia ukamilifu wakati Mitume wa Mungu – hasa hasa Mtume wa Mwisho (s.a.w.w)…
-
DuniaKatika Mkutano wa “Amani Duniani” uliofanyika Jakarta Imesemwa Kwamba: Hakuna amani inayodumu bila nguvu
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Hamid Shahriari, Katibu Mkuu wa Taqrib baina ya Madhehebu ya Kiislamu, katika Mkutano wa Tisa wa Kimataifa wa “Amani Duniani” uliofanyika Jakarta, alibainisha…
-
DuniaSheikh Al-Khatib: Sisi Hatutajisalimisha
Hawza/ Makamu wa Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Kishia nchini Lebanon alisema: Kudhalilisha sura ya dhehebu la Kishia nchini Lebanon ni njama dhidi ya Lebanon. Tulishika silaha kwa kuwa hakukuwa…