-
Ayatullah A‘rafi katika Hafla ya ufunguzi wa Mwaka wa Masomo kwa Wanafunzi wakike wa Hawza:
HawzaNahjul-Balagha ni Kitabu chenye Mageuzi na Mapinduzi / Wanafunzi wakike wa Hawza wana nafasi ya Kihistoria katika kuiongoza Dunia Mpya
Hawza/ Mkurugenzi wa Hawza Nchini Iran ameitaja Nahjul-Balagha kuwa ni kitabu cha mageuzi na mapinduzi, na kusisitiza: Hawza za wanawake zinapaswa kuanzisha sura maalum ya kuongeza maarifa kuhusu…
-
Mwenyekiti wa Baraza la Wanazuoni wa Kishia Pakistan:
DuniaUhalifu wa kikatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni ni kofi la fedheha zaidi kwa nyuso za wale wanaodai kuheshimu Siku ya Kimataifa ya Demokrasia
Hawza/ Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, kutokana na mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, katika ujumbe wake amesisitiza: Wakati ambapo Ghaza inateketea chini ya moto…
-
DuniaWakazi wa New York na New Zealand wameandamana kudai vita vya Ghaza vifikie hatam
Hawza/ Watu wa New York na New Zealand katika maandamano makubwa wameitaka Israel isimamishiwe kikamilifu na kwa upana wote kuhusiana na mauzo ya silaha.
-
Kituo cha Uangalizi wa Haki za Binadamu Syria:
DuniaTangia kuanguka serikali iliyopita, watu 10,672 wameuawa nchini Syria
Hawza/ Kituo cha Uangalizi wa Haki za Binadamu Syria kimetangaza kwamba kimeorodhesha vifo vya watu 10,672, wakiwemo 3,020 waliouawa katika mauaji ya kiholela kwa kunyongwa.