-
DuniaMkutano Unao wakilisha na Nchi 45 Nchini Tunisia kwa Ajili ya Harakati ya Baharini Kuelekea Ghaza, Pamoja na kuwepo Tishio la Moja kwa Moja lililotolewa na Utawala wa Kizayuni
Hawza/ Wawakilishi kutoka nchi 45 dunianj walikusanyika siku ya Jumapili nchini Tunisia kwa ajili ya kuanza harakati ya baharini kuelekea Ukanda wa Ghaza ili kuondosha mzingiro wa eneo hili,…
-
Taarifa ya Jumuiya ya Walimu wa Hawza Tukufu ya Qum, Kuhusu Kulaani Mauaji ya Kigaidi Dhidi ya Baadhi ya Mawaziri wa Yemen:
DuniaUhalifu unaofanywa na Utawala wa Kizayuni Hauwezi Kudhoofisha Kudai Haki na Kusimama Imara Watu wa Yemen
Hawza/ Jumuiya ya Walimu wa Hawza Tukufu ya Qum (J'amiatul-Mudarrisin) imetoa taarifa na kulaani shambulio la kinyama lililofanywa na utawala muhalifu wa Kizayuni mjini Sanaa, na kupelekea kuuawa…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa Mada Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 42
DiniNafasi ya Intidhari (Kusubiria Faraja) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Kile kinachomfanya mwanadamu awe na matumaini ya kuishi na kinachorahisisha kwake hofu na huzuni, ni intidhari (kusubiri) na matumaini ya mustakabali wenye mwanga na wa kustawisha, ambapo…
-
DuniaMaimamu wa Kiislamu duniani wametaka kuundwa umoja wa Kiislamu kwa ajili ya kuwaunga mkono watu wa Ghaza
Hawza/ Mkutano wa “Wajibu wa Kiislamu na Kibinadamu; Ghaza” kwa ushirikiano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu na Taasisi ya Wanazuoni wa Kiislamu ya Uturuki na kwa kuhudhuriwa…