-
“Kuielekea Jamii Bora” (mkusanyiko wa utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 40
DiniImam ni kioo cha rehema isiyo na kikomo ya Mwenyezi Mungu
Hawza/ Imam zaman (as) ingawa yupo kwenye ghaiba, lakini ni wingu la rehema linaloendelea kunyesha daima na kulipa uhai na bashasha jangwa kavu la watu, na ni mwenye kunyimika yule ambaye hatanusa…
-
DiniHaya ndiyo makundi matano mabayo hayatapata shafa'a (Uombezi siku ya kiyama)
Hawza / Riwaya za Kiislamu hazijaihesabu shafa'a kwenye makundi matano: makafiri, washirikina, wanafiki, wakanushaji wa shafa'a, na wale wanaoibeza Swala. Imam Swadiq (a.s) kwa msisitizo alisema…
-
DuniaImamu wa Ijumaa Najafu Ashraf, Akosoa kuhusiana na kuenezwa baadhi ya upotovu wa kidini na kimaadili katika majlisi za Huseini
Hawza / Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sadruddin Qubanchi alisema: “Tunaamini kuwa Hashd al-Sha‘bi ni nukta ya nguvu ya Iraq na Hashd al-Sha‘bi ni alama ya heshima na fahari ya Iraq, kuvunjwa…
-
DuniaJeshi la Yemen lashambulia Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion na malengo mawili ya adui Mwisraeli huko Yafa na Asqalan
Hawza / Jeshi la Yemen limetangaza kufanikisha operesheni tatu kwa kulenga Uwanja wa Ndege wa “Ben Gurion” ulioko katika eneo la uvamizi wa Yafa na malengo mawili ya adui Mwisraeli katika ardhi…
-
DuniaMkusanyiko mkubwa wafanyika Mumbai kwa ajili ya kuliunga mkono taifa la Palestina
Hawza / Raia wa Mumbai wakiwa pamoja na viongozi wa kisiasa, maulamaa, wanaharakati wa kijamii na wasanii, walikusanyika kwa wingi katika uwanja wa Azad wa mji huo, sambamba na kutangaza mshikamano…
-
DuniaMwanazuoni mashuhuri wa Kashmiri: Shahada ni kilele cha ubinadamu na ngome imara mbele ya dhulma na ufisadi
Hawza/ Hujjatul-Islam Sayyid Hadi Musawi, katika maelezo yake kuhusu falsafa ya shahada, alifafanua daraja tukufu la shahidi na kusisitiza umuhimu wa kujitolea, kusimama imara dhidi ya dhulma…