-
Ayatollah Rajabiy asema:
HawzaKukubali mazungumzo na adui ni kutokuamini ahadi za Mwenyezi Mungu
Hawza/ Rais wa Taasisi ya Imam Khomeini (rah) amesema: Kukubali kufanya mazungumzo na adui ni ushahidi wa wazi wa kutokuamini ahadi ya nusura ya Mwenyezi Mungu na kutokujua kwa hakika njama za…
-
DuniaWanafunzi wa Yemeni waanza mwaka mpya wa masomo kwa maandamano ya kuiunga mkono Ghaza
Hawza/ Wanafunzi wa Yemeni hufanya maandamano kila wiki kwa namna ya kishujaa kulaani kimya cha jumuiya ya kimataifa mbele ya mateso ya watu wa Ghaza.
-
DuniaKufanyika kwa maandamano ya kulaani mauaji ya kigaidi dhidi ya Sheikh Shahoud huko Homs, Syria
Hawza/ Wanaharakati wa Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria wamerekodi maandamano katika vitongoji vya Homs yaliyoandaliwa kulaani mauaji ya kigaidi dhidi ya Sheikh Rasul Shahoud,…
-
Ayatollah A’rafi katika kulaani mauaji ya Maulamaa wa Kishia nchini Syria:
HawzaTaasis za kimataifa zilaani mauaji ya maulamaa wa Kishia nchini Syria / Wahalifu na waungaji mkono wa jinai hii katika kanda hii wanapaswa kuhojiwa
Hawza/ Mkurugenzi wa hawza Iran amesema kwa kusisitiza: Mimi binafsi naziomba taasisi zote za kimataifa, hasa Umoja wa Mataifa, Baraza la Haki za Binadamu, Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu,…