Alhamisi 5 Juni 2025

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
    • Hadithi
    • Kitabu na Makala
    • Sheria za Kiislamu
    • Maswali na Majibu
    • Maadili ya Kiislamu
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi
filterHabari za leo
  • Kukubalika na umma Imam Mahdi (a.s.) pamoja na Serikali yake

    Kuielekea Jamii ya Bora: (Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.)) - 23

    DiniKukubalika na umma Imam Mahdi (a.s.) pamoja na Serikali yake

    Hawza/ Miongoni mwa sifa za msingi za serikali ya Imam Mahdi (a.s.) ni kuwa serikali hiyo itakubalika na watu wote na jamii zote za kibinadamu. Si tu watu wote wa ardhini, bali hata wakaazi wa…

    2025-06-03 18:08
  • Jibu la kipekee la Imam Baaqir (as) kutokana na dharau alizo onesha Mkristo Mmoja

    DiniJibu la kipekee la Imam Baaqir (as) kutokana na dharau alizo onesha Mkristo Mmoja

    Hawza/ Riwaya isiyosahaulika kuhusiana na subira na ukubwa wa moyo wa Imam Muhammad Baaqir (as), ilimgusa mno mwanamume mmoja Mkristo aliyesema kwa dhihaka na matusi kiasi cha kwamba baada ya…

    2025-06-03 18:00
  • Dunia haisikii sauti ya wazazi waliopoteza watoto wao huko Ghaza

    Pendekezo la Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa wa Kishia Pakistan kuhusu Siku ya Kimataifa ya Wazazi:

    DuniaDunia haisikii sauti ya wazazi waliopoteza watoto wao huko Ghaza

    Hawza/ Hujjat al-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, katika ujumbe wake kutokana na mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Wazazi, amependekeza siku hii ipewe jina la wazazi wa watoto walio dhulumiwa…

    2025-06-03 17:59
  • Mapenzi kwa Imam Khomeini (r.a.) bila kumtii Kiongozi wa dini (walii faqih) ni madai ya uongo

    Jumuiya ya Walimu wa Hawza ya Qom (Jamiatul Mudarrisin):

    HawzaMapenzi kwa Imam Khomeini (r.a.) bila kumtii Kiongozi wa dini (walii faqih) ni madai ya uongo

    Leo hii Kiongozi mwenye busara wa Mapinduzi amezishika kwa mikono yake fikra zenye nuru za Imam adhimu na anawaalika wote kushikamana na malengo ya Imam na Mapinduzi. Mapenzi kwa Imam bila kumtii…

    2025-06-03 17:57
  • Kuwa katika orodha ya waja wema kabisa wa Mwenyezi Mungu

    Hadithi ya leo:

    DiniKuwa katika orodha ya waja wema kabisa wa Mwenyezi Mungu

    Ni wale ambao wanapofanya jema hufurahi, watendapo (jambo) baya huomba maghufira, wakipewa kitu hushukuru, na wakifikwa na majaribu (mtihani) huonyesha subira na wanapokasirika husamehe.

    2025-06-03 13:07

Ufikaji wa haraka

  • Nyumbani
  • Habari zote
  • Hawza
  • Dunia
  • Dini
  • Picha
  • Video
  • Kuhusu sisi

Chagua lugha

  • Kiswahili
  • فارسی
  • English
  • العربیة
  • اردو
  • Français
  • हिन्दी
  • বাংলা
  • Türkçe
  • Русский
  • Español
  • Azərbaycan

Mitandao ya kijamii

Haki zote za tovuti hii zimehifadhiwa kwa ajili ya shirika la habari la Hawza.

Kueneza yaliyomo katika shirika la habari la Hawza kwenye mashirika ya habari mengine inafaa pasi na kipingamizi.

sw.hawzahnews.com. All rights reserved

Nastooh Saba Newsroom