-
Hadithi ya leo:
DiniJipambe kwa tabia njema
Tabia njema ni; Kumsamehe aliyekudhulumu, kuunga udugu aliyekukatia (udugu), kumpa aliyekunyima na kusema haki hata kama ni kwa madhara yako.
-
DuniaMadaktari wanaoiunga mkono Palestina: Mkate si Bomu! Waacheni watoto wale chakula!
Hawza/ Muungano wa “Madaktari uliopo dhidi ya mauaji ya Kimbari” siku ya Jumatano walitoa kauli ya kuunga mkono watu wanyonge wa Ghaza na wakatoa wito wa kuondolewa haraka kabisa vizuizi huko…
-
DuniaWanafunzi wa Texas wafungua mashtaka dhidi ya ukandamizaji unao fanywa kwa waandamanaji wanao watetea wapalestina
Wanafunzi kutoka vyuo vikuu vinne vya jimbo la Texas, kwa msaada wa muungano unaopinga ubaguzi nchini Marekani, wamewasilisha mashtaka dhidi ya ukandamizaji unaowalenga wale wanaounga mkono watu…
-
Raisi wa Baraza la Maulamaa wa kishia Pakistan:
DuniaNafasi ya vyombo vya habari katika kuonesha uhalifu unao fanywa na Israel ni ya kupongezwa
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Sayyid Sajid Ali Naqvi, Raisi wa Baraza la Maulamaa wa kishia nchini Pakistan, katika ujumbe wake ulioandikwa kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mnasaba wa Kimataifa…
-
HawzaAyatollah Borujerdi na mbinu za uendeshaji wa Hawza
Kwa kuanza kwa Marjaiyya ya Ayatollah Borujerdi, Hawza ya Qom ambayo mnamo mwaka 1326 Hijria Shamsiyya ilikuwa na takriban wanafunzi 2,000, iliingia kwenye mageuzi ya kimfumo. Mageuzi haya yaliambatan…
-
HawzaHawza ya Qum; Muunganiko ulio na miaka takriban Elfu katika elimu ya kiislamu na ulimwengu wa zama hizi
Hawza ya Qum ikiwa ni urithi wa zaidi ya miaka 1200, siyo tu mojawapo ya vituo vikuu vya uzalishaji na usambazaji wa elimu ya Kiislamu, bali pia kwa kulea wanafunzi wa kimataifa na kuwaunganisha,…