Hawza/ Maulamaa mashuhuri wa Pakistan, katika khutba za Ijumaa, wameomba kwamba mwaka huu, viongozi wa Hija wa Saudi Arabia wafikishe ujumbe wa kuikomboa Baytul-Maqdis na mwamko wa Umma wa Kiislamu…
Waziri wa ulinzi wa Saudi Arabia, alasiri ya leo, katika mazungumzo yake na kiongozi mkuu wa mapinduzi ya kiislamu, aliwasilisha ujumbe wa mfalme wa nchi hiyo kwa Hadhrat Ayatullah Khamenei.