maimamu wa Baqii (5)
-
DuniaPainia wa Wahindi katika ujenzi upya wa Baqi‘; kitabu cha “Jannat al-Baqi‘; Historia, Ukweli na Nyaraka” yazinduliwa katika mji mkuu wa India
Hawza/ Wakati wa kumbukumbu ya miaka mia moja tangia kubomolewa kwa makaburi matukufu kihistoria ya Jannat al-Baqi‘, hafla ya uzinduzi wa kitabu “Jannat al-Baqi‘; Historia, Ukweli na Nyaraka”…
-
Katika kikao cha kimataifa kilichoandaliwa kuhusu ujenzi upya wa Baqī':
DuniaKuanzia tarehe 15 hadi 25 Shawwal zimeitwa "siku kumi za Baqī'"
Kikao cha kimataifa kilicho fanyika mtandaoni kiliandaliwa na Taasisi ya Baqī' ya Chicago kwa kushirikisha maulamaa mashuhuri kutoka nchi mbalimbali.
-
HawzaPingamizi la kihistoria kutoka dini tofauti nchini India dhidi ya uharibifu wa Makaburi ya Baqi: Hatutatulia Hadi Makaburi ya Wana wa Mtume yarekebishwe
Hawza: Katika matembezi makubwa yaliyoandaliwa mjini Mumbai, wafuasi wa dini na madhehebu tofauti walisimama bega kwa bega na kupaza sauti moja huku wakisema: "Hatutakaa kimya hadi makaburi ya…
-
HawzaTamko la Ja'miat Mudarsin, Hawza ya Qum kwa mnasaba ya kuharibiwa Makaburi ya Maimamu wa Baqi (a.s)
Hawza/ Ja'miat Mudarisin Qum, inatoa salamu za rambirambi kutokana na mnasaba wa kumbukumbu ya tukio la kuhuzunisha na la kusikitisha la uvunjiwaji heshima maeneo matukufu ya Maimamu watukufu…
-
HawzaTukio la kubomolewa makaburi ya maimamu wa Baqii (a.s) halina mbadala
Marehemu Ayatollah Safi Golpayegani katika chapisho alilo liandika kuhusiana na mnasaba wa kumbukizi ya kubomolewa kwa makaburi ya Maimamu wa Baqii (a.s), alieleza wazi kuwa: Lengo ovu la maadui…