Imam Swadiq (a.s) anastaajabishwa na watu wa aina nne, kwa nini hawakimbilii kwenye dhikri nne zilizojaribiwa na zenye tiba wakati wa matatizo na na kushikika.